Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 408
Wanaharakati nchini mexico wanaandaa muswaada wa sheria ya kuwa ndoa za mkataba. Wanandoa wanaotaka kuoana watatakiwa kueleza wazi nia yao ya kufunga ndoa ya mkataba. Mkataba wa chini ni miaka 2 na muda huo inaaminika kuwa wanandoa watakuwa wamejuana tabia na kama watakuwa na nia ya kuendelea basi wanaweza kuongeza mkataba mwingine wa miaka 2. Hii inatokana na kiwango kikubwa cha kuvunjika kwa ndoa nchini humo. Ndoa 5 kati ya 10 huvunjika nchini humo chini ya miaka 5. Source: BBC