Mmmmm eti kifuaniIla wanaume hata mzeeke mnataka kushinda kifuani. Sasa hako kababu kanaweza kweli hata kumridhisha huyo dada? Au ndo kila mtu ajihudumie kwa muda wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
nani hagongewi!!?
Naishukuru sana mitandao ya kijamii. Imetusaidia kujua mwanamke anataka nini katika mapenzi. Na imewasaidia wanawake kuvunja ukimya na kufurahia mapenzi na wenzi wao tofauti na zamani.
Mzee lazima atumie ViagraKimahesabu Mzee anamiaka kama 5-10 yakuishi..tuchukulie umri wa miaka 75 ,, hapo Mashine haijaacha kazi, napengine hapo inafanya kwankusua sua
Alafu tuassume km binti ana miaka 22+10=32....... Bado analipa kabisa na ataolewa tena ..
NB... wote wawe na Afya na tuondoe mambo ya ajali ajali
Hata Jack kwa Mengi alifata Welfare !! Unaambiwa Pesa zinakufanya Uonekane kijana/HB !!
Hawa sio watanzaniaInasemekana huyu mrembo ameozeshwa kwa nguvu kwa hicho kibabu..
Kisa? Kibabu kilikuwa kinamdai baba wa mrembo huyo mkwanja mrefu ambao alishindwa kuulipa SULUHISHO likawa eidha hiyo kibabu kipewe ardhi ya familia au kipewe mke..Baba wa binti akaona isiwe tabu..akamtoa binti yake..
Nani anataka shida humu duniani?
Ndiyo maana nakupenda usikubali kabsaNani anataka shida humu duniani?
Usimdharau babu aisee. Cha kuogopa hapo ni kifo tu.Navuta picha tu ya huyo babu masikini mdada wa watu
Atarithi uchawi tu hapoUrithi.