Ndoa za kiduanzi kama hizi bado zipo?

Ndoa za kiduanzi kama hizi bado zipo?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,696
Inasemekana huyu mrembo ameozeshwa kwa nguvu kwa hicho kibabu.

Kisa?

Kibabu kilikuwa kinamdai baba wa mrembo huyo mkwanja mrefu ambao alishindwa kuulipa SULUHISHO likawa eidha hiyo kibabu kipewe ardhi ya familia au kipewe mke..Baba wa binti akaona isiwe tabu, akamtoa binti yake.

5b7ec5d695a8c.PNG
5b7ec5fd69cf7.PNG
5b7ec64290e87.PNG
5b7ec64290e87.PNG
 
Wapambane na hali yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimahesabu Mzee anamiaka kama 5-10 yakuishi..tuchukulie umri wa miaka 75 ,, hapo Mashine haijaacha kazi, napengine hapo inafanya kwankusua sua


Alafu tuassume km binti ana miaka 22+10=32....... Bado analipa kabisa na ataolewa tena ..

NB... wote wawe na Afya na tuondoe mambo ya ajali ajali

Hata Jack kwa Mengi alifata Welfare !! Unaambiwa Pesa zinakufanya Uonekane kijana/HB !!
 
fresh tuu, tena unamkopa na pesa nyingine ili uumpe na mke wako kabisa ubaki singo hlf mtoto na mamaye waolewe na babu.
 
Tatizo nadhani mtera,mzee huyu ndo pekee mwenye uwezo wa kuujaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom