Ndoa za jinsia moja

Ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
Namuomba muumba anitangulize mbele ya haki kuliko kushuhudia sodoma. Nawachukia sana hao ma gay na wasagaji. Ptuuuu!

wana roho nzuri wewe hujui tu slave ila tuwaombee tu hamna jinsi
 
Vitu vyote vya kishetani,binadamu huvipenda sijui kwa nini!
 
halafu watu wenginne humu sijui wakoje mi nimetoa wazo langu tu maana nakutana nao sana hata sehemu ya kazi ninayofanya wanakujaga sana hao watu, haimaanishi na mimi ni mmoja wao nina mume jamani bila yeye sina raha. so msininunie, mpenzi wangu kiwatengu niombee radhi shemeji Erickb52 kanuna.

ila nimefurahi kupata mawazo yenu kwa tanzania wameumia waendelee kujificha tu
 
Last edited by a moderator:
Naona upuuzi umempata mnenaji...
 
I hate you from now onwards.

Naungana nawe kaka mkubwa...mtu mwenye hofu ya Mungu hawezi kuwa na mawazo kama haya nasema hawezi!!!
Kuna wakati nilibishana sana na Moderator kuwa threads za namna hii wameziachia sana na mwisho wa siku zinachafua hadhi ya JF...
 
halafu watu wenginne humu sijui wakoje mi nimetoa wazo langu tu maana nakutana nao sana hata sehemu ya kazi ninayofanya wanakujaga sana hao watu, haimaanishi na mimi ni mmoja wao nina mume jamani bila yeye sina raha. so msininunie, mpenzi wangu kiwatengu niombee radhi shemeji Erickb52 kanuna.

ila nimefurahi kupata mawazo yenu kwa tanzania wameumia waendelee kujificha tu

ikitokea mumeo anaoa mke wa pili ambaye ni shoga utakubali?
 
Last edited by a moderator:
Naungana nawe kaka mkubwa...mtu mwenye hofu ya Mungu hawezi kuwa na mawazo kama haya nasema hawezi!!!
Kuna wakati nilibishana sana na Moderator kuwa threads za namna hii wameziachia sana na mwisho wa siku zinachafua hadhi ya JF...

Ndio nashangaa inakuwaje wanamuangalia tu huyu na ujinga wake wakati watu wanauchukia?
Im real disappointed kwa Moderator wa jukwaa hili...bora tubishane dini sio ushoga
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mungu kwa kuzaliwa kabla mambo hayajawa mabaya zaidi... Nawaonea huruma hao vizazi wajao. Ee Mungu niepushe kushuhudia remix ya sodoma...inikute kaburini tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom