shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Hivi kwanini serikali isiruhusu ndoa za jinsia moja maana hawa watu wapo tutake tusitake wamejaa katika jamii yetu na wapo mitaani wanajificha na kufanya ufuska nyakati za usiku, sababu tu serikali na dini hairuhusu.lakini ni binadamu kama binadamu wengine na wana haki.
ukiangalia nchi za wenzettu wameachwa huru wanasoma hadi ngazi ya juu bila kunyanyapaliwa wala kutengwa na hiyo imepelekea kuwa watu wa maana sana kwenye jamii hizi wengine ni models ,tv presenters, radio hosters, hair dressers, fashion designer na fani nyingine nzuri tu. Hasa ma gay wanapenda sana fani za urembo na wanafanya vizuri katika nchi za mbele. Mnaonaje na Tanzania ingewapa uhuru wao waweze kutambulika katika jamii na kumwachia Mungu afanye kazi yake juu yao na si sisi kuwahukumu.
maoni yenu tafadhali.