Ndoa za jinsia moja

Ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,370
Hivi kwanini serikali isiruhusu ndoa za jinsia moja maana hawa watu wapo tutake tusitake wamejaa katika jamii yetu na wapo mitaani wanajificha na kufanya ufuska nyakati za usiku, sababu tu serikali na dini hairuhusu.lakini ni binadamu kama binadamu wengine na wana haki.

ukiangalia nchi za wenzettu wameachwa huru wanasoma hadi ngazi ya juu bila kunyanyapaliwa wala kutengwa na hiyo imepelekea kuwa watu wa maana sana kwenye jamii hizi wengine ni models ,tv presenters, radio hosters, hair dressers, fashion designer na fani nyingine nzuri tu. Hasa ma gay wanapenda sana fani za urembo na wanafanya vizuri katika nchi za mbele. Mnaonaje na Tanzania ingewapa uhuru wao waweze kutambulika katika jamii na kumwachia Mungu afanye kazi yake juu yao na si sisi kuwahukumu.

maoni yenu tafadhali.
 
Namuomba muumba anitangulize mbele ya haki kuliko kushuhudia sodoma. Nawachukia sana hao ma gay na wasagaji. Ptuuuu!
 
kamwe haitatokea tz yetu
hiyo dhambi imekatazwa mpaka kwny
vitabu vya dini,waendelee kufanyia gizani
na sisi tukiwajua tutaendelea kuwapiga mawe!!
 
Namuomba muumba anitangulize mbele ya haki kuliko kushuhudia sodoma. Nawachukia sana hao ma gay na wasagaji. Ptuuuu!

I pray so tooo mkuu_bora kiama kije kabla sijakutana na huu utumbo ukiwa justfied na jamii yetu.
 
Shansarie umewaza nini rafiki? Au wagonjwa wamezidi hapo kwa hospital yako? Tumuombe Mungu awaepushe hao watu na hilo janga na si kuwaunga mkono ndugu yangu.. Hao walio lipitisha hilo waache walipitishe katu tusiwaige.... Nchi yetu yenyewe hii majanga kila kukicha na bado tuliongeze na hilo patakalika kweli?
 
Nahisi harufu ya unafiki hapa.......hususani kwa kina mama........kuna bar moja masaki ma lesbian kutwa kucha wako hapo na ukiwaangalia ni wanawake wa maana kweli na si ajabu wengine ni mamemba humu jf...........kaulize kwenye massage parlours hapa jijini mabinti watakueleza nini kina mama hufuata huko.......kina mama acheni kujitia mnakereka hapa......mnakumbuka enzi zenu za boarding school?
 
Shansarie umewaza nini rafiki? Au wagonjwa wamezidi hapo kwa hospital yako? Tumuombe Mungu awaepushe hao watu na hilo janga na si kuwaunga mkono ndugu yangu.. Hao walio lipitisha hilo waache walipitishe katu tusiwaige.... Nchi yetu yenyewe hii majanga kila kukicha na bado tuliongeze na hilo patakalika kweli?

acha tu nawapokea wengi kweli huku hospitali na magonjwa yao ya zinaa hadi wanatia huruma ukiwaambia waache wanasema ni ngumu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom