Ndoa Yangu

One tangu akabwe na jini lile limemfunga mdomo kabisa kwa Atu.
 
Nilichojifunza: 'Siri tunazozitunza kwenye mioyo yetu ndizo zinazokuja kutuharibia kwenye maisha yetu'. RIP Mama One. Mbali ya kwamba hii ni story tu ila kuna matukio mengi ni ya kweli na yanawakuta watu wengi.
 
Wanyakyusa mkuje mkuje hapa nahitaji kujua maana ya hili jina ATUGANILE in English or Swahili hebu mkuje bajameni nina hasira na mademu wa kyela
 
Dah atugonile story tamu sana,

Aaah sorry madame s
 
Wanyakyusa mkuje mkuje hapa nahitaji kujua maana ya hili jina ATUGANILE in English or Swahili hebu mkuje bajameni nina hasira na mademu wa kyela
Mkuu wanawake wakinyakyusa wnaupendo na uvumilivu sana,na wasiwasi na huyu atu atakuwa mchanganyiko
 
Huyu Atuganile Angekuwa Anapitia Siridi Sijui Ingekuwaje
 
shunie m ximxumbui madame s na ww madam kwahyo nakupa xhda ok mbna m mwnyw ujanambia ok
 
Mkuu wanawake wakinyakyusa wnaupendo na uvumilivu sana,na wasiwasi na huyu atu atakuwa mchanganyiko
Mkuu acha kuwatete hawa wachawi wa kyela, kuna best wangu alifanywa mbaya na mdada wa kyela mpaka akawa chizi wa kulala stand ya bus akamwachia nyumba yote bidada wa kyela!!

Hahahaaa chezea wadada wa kinyakyu uchizike
 
Kwahiyo mkuu unanishauri nimuache mlimbwende wangu??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…