Ndoa yangu ipo mashakani


Kwa mfano saa tisa kasorobo hii wewe uko busy JF, yeye yuko wapi?
 
Umekuwa mjapani mama analala na watoto; anahamia kwa baba pale anapotaka watoto...

Kurudi kwenye mada...naongezea walichosema wengine, mazoezi na kula vizuri vinahusika pia...wote wawili muwe watu wa mazoezi, hii inapunguza uchovu na kufanya damu ichemke...

kwa sababu kuna wamama mfano wakijiona wamenenepa sana baada ya kuzaa wanachukia miili yao na kama mtu hajikubali na kujipenda hawezi penda mwingine (mumewe)...

Madawa ya kuzuia mimba nayo yanaweza kuhusika...

Nilitaka kusahau sala...yani hiki ni cha kwanza...mshirikishe Mungu maana hiyo yaweza pia kuwa kazi ya shetani...anataka unyimwe ili uangalie mipango ya kando...

Ngono ni kwa ajili ya kupata watotot tu na watoto unao, shida unayo wewe mwanaume
 
Kwa maelezo haya mkeo anatakiwa umpe lesson...think think think....ana take advantage ya kuwa na mume kama wewe...

Lesson si mpaka mpango wa kando ila muonyeshe action kwa muda...si hataki story eehhh sasa mchunie mpaka apate mashaka...

People don't know what they have until it's gone...

We need to be reminded now and then of how worthy our husbands and wives are...na ni kwa kuwapokonya hivi vitu special tunavyowapa...mchunie uone kama hajatia akili...


 
Kabla ya kuchukua hatua zote ulizoshauriwa je yeye anaona jambo hili kuwa ni tatizo au anaona poa tu. Kama ulivyoshauriwa na wengi mpeleke kwenye maombi au ikiwa wewe ni mwamini basi muombee mkeo utaona mabadiliko
 
Dah!!!! Pole sana Mkuu. Inaumiza sana Mwanaume unapokosa haki yako toka kwa mkeo kwa sababu za uchovu wa mke halafu mume ukaamua kujitoa na kufanya kazi zote za nyumbani ili mke aweze kushiriki ipasavyo katika tendo la ndoa na bado hakuna ahueni yoyote. Kama hamna magomvi nyumbani kwenu basi labda ana matatizo ya kiafya Mkuu, hivyo jaribuni kuwaona wataalamu wanaweza kuwasaidia hivyo kuokoa ndoa yenu.

 

hapa kwenye pepo inawezekana kabisa. Tena jini mahaba hapendi kabisa ku-share mapenzi
 
Ulimuoa akiwa hakupend kwa asilimia zote, eitha aliamua kuolewa kwa xternal forces au kwa kuhofia kukosa ndoa mbeleni....sasa moyo wake kwako umepoa, kale kachembe ka upendo wa mwanzoni nako kameisha....dalili kuu ya m2 kuwa hakupend ni kukunyima tendo la ndoa coz hakufeel na lile tendo ni hisia....! Chunguza mwanamke kama anakupenda kweli kabla hujamuoa,
 
jini mahaba linaweza kuwa linamsonga....... ila mwaka mzima kweli mrefu.... mpaka umbake duh... na wakati unambaka anatoa ushirikiano?......fanya hivi.... anza kutoka kila siku rudi jioni,,jifanye kama huna habari nae... mzigo usiulize na ujikaze kweli kweli, uwe mpole kabisa,,, kuwa busy na watoto kwa sana.. tena siku nyingine jisahaulishe lala kwa watoto....lazima atagutuka, pia chunguza marafiki zake, kama una mbinu za kuwafahamu fanya....ila usiwaulize kitu,,, chunguza na wao tabia zao.....wanawake hawakosi mashosti kabisa....jaribu hapo tuone....
 
Hiii ndo unajua kwamba dini ya kiislam ni ya haki kwa mfano hilo tatizo lako lingekua lishakwisha pindi ungeengeza mke

Kwa hiyo kwa kuongeza mke ndio angekuwa amemsaidia huyu mwenye matatizo...!!!!
 
Pia inawezekana umekua unashindwa kumfikisha kileleni yani ukikutana nae unajifurahisha wewe unamaliza unamgeuzia mgongo,
hii pia inaweza ikachangia mkeo kulichukia tendo la ndoa na kutokua na hamu na wewe
 
kama anatumia vidonge au njia za kisasa za uzazi wa mpango aache...... nazo zinachangia kupunguza hamu
 
Kaka hapo kuna mambo kama matatu hivi; 1. La kiimani, yawezekana akawa na pepo/jini mahaba ambalo humwingaia kwa njia ya ndoto na kumtimizia haja zake; pata muda umuulize taratibu kwanini siku hizi ajisikii hamu alafu mchomekee kiaina swari la kama anaotaga otaga ili asishtuke kama wamhisi kuwa anajini mahaba. Jibu atakalokupa litakupa dira either ya msaada wa kimaombi katika katisa la kiroho etc. 2. Tatizo la kisaikolojia, kutokana na mgandamizo wa mawazo na mambo tu ya kawaida yanayoendelea hapo nyumbani au kwa wazazi yanaweza changia hali hiyo. Hapa muone mwanasaikolojia ukishajiridhisha baada ya kukaa nae na kumhoji maswari mawili matatu. 3. Yaelekea unakaa sana nyumbani[kama unakuwa na muda hata wa kumsaidia kazi za nyumbani] she has got used to you. Uwe unasafiri safiri au kutoshinda hapo nyumbani na hata unapokuwa hapo jaribu kuishi tofauti na zamani[akuone mpya] 4. Mchunguze; sisi wanaume bhana, huwezi jua
 
Ni vizuri ukajiangalia kwanza wewe kama wewe ili kuweza kubaini kama kuna mapungufu yoyote upande wako na ndipo mkae na mwenzako mzungumze tu kivizuri na kwa uwazi,kila mtu aweke wazi his/her concerns about making love na endapo mtashindwa kupata utatuzi ndipo unaweza ukampeleka kwa tabibu kwa check up kubaini kama ana tatizo lolote ktk mfumo wake wa hormones.!!
 
Jmbungi mnatumia family planning gani? usikute imemleta madhara. chunguza.
 
huyo anamegwa tu out
 
pole sana mkuu maana yakupasa kuwa makini unaweza okota makopo kwa kukosa tendo

nadhani jaribu kubadilisha aina ya maisha na mawasiliano mliyonayo sasa , jichunguze uone wapi pa kubadilika wewe na ujifunze mbinu mpya ya mawasiliano na maisha kati yenu wawili . usikimbilie kwanza tendo lakin anza kwa kutengeneza ukaribu kati yako na yeye kwa kuwa mnatoka out za weekend na pia ujue interest zake .. kama ni mkata maji ya ilala toka nae mkapate , kama ni mpenzi wa mikutano ya mwakasege nenda nae ujenge ukaribu ,,, kama ni mtu wa msikitini nenda nae swala zote .. baada ya hapo yakupasa uanze kwa kuwa unaenda nae lodge kwa dhumuni ya kubadilisha kiwanja isije ikawa hata kitanda cha nyumbani kakizoea kiasi hakina jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…