mbishi wa wabishi
Member
- Sep 27, 2013
- 8
- 6
Mume wangu nampenda sanaHuwa unakuwepo kifikra kwaajili ya hilo tendo la ndoa?
Unampenda mumeo?
labda shem alibambikiwa ! au anataka kila siku au ana jini mahabaknowing your enermy is half way victory ,sasa kwa sababu umeshajua unavunja ndoa yako mwenyewe wewe ndio adui wa ndoa yako mwenyewe
Pole husiwe MBISHI sana kwa mumeo, mpe haki yake.
Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo gani.kwa sababu hata tukianza kujamiiana mwenzangu anahangaika japo kunihamasisha,lakini bado nachelewa sana kurespond,mimi sielewi nini tatizo kwangu,sasa naona ntampa sababu mume ya kunikimbia kwakweli, naomba msaada wana jf
Hii dunia hii... Hebu kwanza toa ratiba yako ya siku nzima ipoje.
kabla sijakushauri ngoja nikuuliz¿ je unaota ndoto za mapenzi na mtu usiyemkumbuka alafu anakufikisha kuleleni? ukimwona mmeo unamchukia kama ndiyo tatafuta kanisa lolote la wakole wa ukweli watakuombea majini mahaba yataondoka utafurahia ndoa je unampenda huyo mume au ulifunga ndoa ili mradi uelewe ? una mti mwingine pembeni kama ndiyo acha.mwisho pengine ni uchovu wa kazi hilo mbaweza jadiliana na mwenza wako pia jua mapenzi yanahitaj mandaliz kisaikolojia akuandae vizur mwambie ni wapi ukishikwa unasisimuka sana ili ukulainishe ndo akugegede yani ulainike sanaa huku ukihemea juu juu then unamwambia amalize pia tafuta vitabu kama msinyimane vitakuongezea maarifa sawa dadaMimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo gani.kwa sababu hata tukianza kujamiiana mwenzangu anahangaika japo kunihamasisha,lakini bado nachelewa sana kurespond,mimi sielewi nini tatizo kwangu,sasa naona ntampa sababu mume ya kunikimbia kwakweli, naomba msaada wana jf
Hapana jibu la yote,uzazi wa mpango natumia mbegu za mnyonyo tu,hayo masindano,sijui madawa wala vijiti sijawahiunafanya kazi nyingi?
nyumba ina watu wengi?
chumba kimebanana? joto? hewa hakuna?
unaishi karibu na bar yenye kelele?kituo cha bodaboda,daladala?
kuna vitu viingi mno vinavyoweza disturb hamu ya sex
umewahi tumia madawa ya uzazi?
vipi kuhusu mahusiano yenu kwa ujumla? Namaanisha ugomvi, furaha, huzuni... EtcNaamka,tunajiandaa na mume wangu,then kazini,na kazini sio busy kihiiivo,then home,napika hiyo jioni/usiku then nahakikisha shughuli zote zimemalizika then kulala full stop
Tena ukute nyumba ndogo yenyewe feni cha mtoto... Ndo kwishnei kabisaaaaMhh kazi kweli kweli......ila unamtafutia mumoe sababu ya kutafta nyumba ndogo.......
Mind yako huwa somewhere wkt zoez zima linaendelea