Ndoa yangu ipo ICU !dah

Unajibu leo umesoma tarehe hii habari ni ya lini?
Umekurupuka!
 
Mkuu achana na hilo pepo litaku ua kwa presha achana nalo
 
Hapo kukaribisha mtoto wa danga la ex wife wako ndipo uliponiangusha,wa kazi gani huyo?yaani visa vyote hivyo pamoja na kut*mb£wa na baba yake wewe ndiyo kwanza umemvuta kuwa karibu na wewe?

Wa nini huyo?
Brother ..unajua kuna maisha ukiishi kiroho inasaidia kuwa na busara kwenye maisha ya kimwili.....
No matter what huyo mtoto mdogo anakama 6 hivi kama sikosei...kampani yake sana ni hawa kaka zake (wakwangu)
kwa miaka mitatu mfululizo hawa wakijaga likizo ye huwa anabaki na wala sikuwa napenda engagement sana nae..japo nikiongea na wanangu pia yeye naye anakuwa lazma niongee nae( unajua lifestyle ya watoto na mikumbo) ,,
mwaka jana xmas alikaza kila nikiwa naongea nao swala la kuja pia...
inshort mimi bwana kuna vita na vita nachaguaga kupigana..ila kama mtu hana hatia hata iweje sisumbuki..huyu mtoto sio wangu na simuhudumii..the issue yupo stage ya kuwaganda kaka zake kuna vitu simple reasoning inastaili kuliko kumtenga..na najitahidi kujenga upendo kwasababu yule ni ndugu wa wanangu sio mimi,,,na pia hawa ni malaika wa Mungu kuwafundisha matabaka wakati wazaz ni wasomi simple reasoning ikinisinda kuchakachua nakuwa kama mzaz mwenzangu....
nisamehe kwa kukuangusha..kuna baraka simple sana duniani kuzikosa ni kujitakia mpwa...


alafu umri huu mim ni gamer sana...nina set up ya my games home..(chumba kimoja nimepiga set up matata) yani weekend nikiwa sina hamu na mitungi wala kuzurula najifungiaga huko,...wakijaga madogo ndo huwaambi kitu..sasa naona wamemvuruga adi mdogo wao...
 
All the best chief.

Sikupingi ila kwangu inakataa kabisa ilibidi hizo mambo akafanyie kwa baba yake siyo kwangu.
 
Amua kiume wewe na uwe serious , mwache na mwachie watoto, mtumie matumizi ya watoto kila mwezi na uwe unawatembelea wanao, na usilale kwake, then anza kutafuta mwanamke mwingine, next time usiache kazi kuhamia kwa mwanamke kwa mshahara nusu
 
Mkuu ulishaachana na huyo mama watoto wako au bado unakomaa na mateso hadi leo?
 
Pole mkuu. Mwanamke wa 30 years wala usiogope. Mvumilie afike 35 . Ujana wote utamuisha na atakuona dhahabu ndipo sasa na ww umnyooshe
 
Unajibu leo umesoma tarehe hii habari ni ya lini?
Umekurupuka!
Haina tatizo Mkuu, isipomfaa mleta uzi itamfaa msoma uzi. Naamini na wewe ulikuwa haujui kuwa talaka na utengano ni vitu viwili tofauti kwenye kesi za ndoa.

Siku nyingine kuwa open minded kiongozi.
 
Soma stori vzr vitu vingi uloviongelea jamaa kashaviongelea vyote
Sikuwa nimeiona update yake ya leo Mkuu, ndio maana mimi nilibaki kwenye main thread juu. Ila jambo jema nadhani jamaa alishauriwa na ama wakili au mtu anayeijua vizuri sheria ya ndoa ilivyo
 
Let it fuckeb day utakuja junishukuru
 
Rudi Dar. Mpotezee akikuhitaji atakuja.

Ila kwa kifupi kwa sasa unachapiwa.

Huu ndio ungekua ushauri wangu miaka hiyo.

Ila kwa kuwa ushamove big up.

Usijaribu kumgusa vizazi vipo karibu hao.
 
All the best chief.

Sikupingi ila kwangu inakataa kabisa ilibidi hizo mambo akafanyie kwa baba yake siyo kwangu.
nakuelewa sana mpwa...
cha msingi tuzidi kutafuta hela...
yani mimi nikiangalia nilipo ..kuna vitu petty siwezi engage kwakwel...
Mungu akikubariki...bariki wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…