Ndoa yangu ipo ICU !dah

Cycle ya mapenzi ikifika kufa kwake usijaribu hasta kidogo kuipigania!!ukiipigania utaambulia maneno yenye kuumiza toka kwake!!

Ukimya na ku move on the best way on earth ya ku deal na arrogant woman aliekuaibisha!!

Ndoa sio kaburi la kudumu ni majaribio ya kuishi pamoja,ikishindikana achana nayo Kwa amani!!!

Nadhani!
 
Tafuta mchepuko acha ujinga wewe
 
Ac
Achana na huyo malaya wewe nice guy ,hapa unazunguka zunguka il rafiki sina ushauri wa kukupa zaidi ya kusema achana n huyo malaya .

Watoto kama ni wako nenda uendako zingatia matumizi maana ukiwbeba ndiyo chanzo cha kuanza kumrudisha huyo malaya .

Pole inauma ,kwa ushauri wa mambo ya kivita kuhusu ndoa njoo Pm
 
Ac
Achana na huyo malaya wewe nice guy ,hapa unazunguka zunguka il rafiki sina ushauri wa kukupa zaidi ya kusema achana n huyo malaya .

Watoto kama ni wako nenda uendako zingatia matumizi maana ukiwbeba ndiyo chanzo cha kuanza kumrudisha huyo malaya .

Pole inauma ,kwa ushauri wa mambo ya kivita kuhusu ndoa njoo Pm
 
Acha ujinga
 
KWa utafit mdogo nilioufanya wanawake wengi hata wanaochit hawapendi kutumia kondom wanapenda kavkav na mkeo nae kaamua kununua hizo kit za kupimia ili kumpima mchepu ili amsugue kavkav.

So ushauri wng ambao ni tiba kwa wanaume rijali aidha unamuacha huyo malaya au humuachi tafuta mchepuko tena awe mkali na mwenye tako anza kujipigia mdogomdogo
Utakuja kunishukuru
 
Pole ...fungal macho Anza maisha yako mapya. Focus na watoto wako. Mwanamke sio ndugu yako. Watoto wako hao ndio damu yangu na ndio ndugu zako.
 
Dah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Be a man,unariaje juu ya mwanamke ambaye hukumkuta bikra,mwanamke ambaye mumekutana mko na meno 32,

Duh, wanaume tunatofautiana sana,moyo wangu ni wa tofauti sana,Sina huruma dhidi ya kiumbe wa kuitwa mwanamke
 
Pole mkuu na hongera sana pia. Kwahiyo hajatamka kuomba msamaha au kutaka mrudiane?
 
Ushauri wangu ni hivi, kwakuwa analilia talaka wewe nenda mahakamani kafungue ombi la utengano. Sio talaka. Likikubaliwa wewe potea rudi Dar kaendelee na maisha mengine.

Nadhani kosa ulilolifanya ni kuhamia Morogoro ili kumtimizia anachokitska. Haikupaswa wewe kuhamia huko tena kwa kazi yenye mshahara mdogo kuliko uliyokuwa unaifanya awali.

Sio muda wa kulaumiana, ila kama ukiishindwa option A, basi fanya hii option B. Ondoka rudi Dar na umwambie wazi. Pia uwaambie na hao wenye mahusiano naye kuwa wawe makini na mke wako (hawataendelea naye). Atafanya uhuni kwa miaka miwili tu ila hataweza kutoboa watatu
 
Soma stori vzr vitu vingi uloviongelea jamaa kashaviongelea vyote
 
Pole sana Mkuu!

Piga chini huyo kubadilika itakua ngumu sana! Fanya utaratibu chukua watoto wako ondoka muache! kuna siku atajutia na itakua too late
 
Hongera sana simon baker uzi mzuri nilichelewa kuuona ila asante kwa update baada ya miaka 8.

Maswali yangu:

1. Vipi maumivu baada ya kuachana yalichukua muda gani kupoa?
2. Wewe uliamua kuoa tena au kataa ndoa official?
3. Kwa maono yako, chanzo kikubwa ni kipi cha yeye kubadirika? ie: Tamaa au alikua tu Ma£a¥a au upweke wa Moro?
4. Bora kuoa au kutooa? Na kama kuoa bora kuoa darasa la 7 au?
 
Team KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI MKUBWA, mnaitwa huku kuna ushuhuda mwingine.......
 
this is what i did mkuu
asante
Mungu alibariki movement
 
Hapo kukaribisha mtoto wa danga la ex wife wako ndipo uliponiangusha,wa kazi gani huyo?yaani visa vyote hivyo pamoja na kut*mb£wa na baba yake wewe ndiyo kwanza umemvuta kuwa karibu na wewe?

Wa nini huyo?
 
Mkuu tupo pamoja ase...
1. Maumivu yalichukua takriban mwaka...ila ase Mungu anasaidia ,,ujue hata sasa namba nime save ila nime mute kila kitu yani hata aki post sijui au akinicheki whatsapp au mitandaoni nachelewaga kumuona au ku pata notification mpaka anitafute normal texts etc...inshort huu mwaka wa kwanza ulikuwa mgumu ila nilikaza kutokuonana nae wala kujua anachofanya...after mwaka wa kwanza tuliwasiliana kukamilisha talaka Tu(niliumia kipindi hiki tena kwa kukumbuka mengi tuliopitia..) ila ever since miaka saba yote mpaka now ase nilikuwa nime heal sana...haya mambo ya mda wa ku heal nashauri ni best ukijipa mda na kutokuwa na mawasiliano/kuonana/etc na mwenza wako....
tena ule mwaka alionitafuta kukamilisha talaka niliumia kwasababu alikuwa mjamzito so kidogo niliumia ila baada ya hapo mwendo mdundo
2. Mkuu nilikataa ndoa official...ila kuna mtu nilikuwa nae kwenye mahusiano miaka 5 mpaka may hii ase dada wa watu kaamua kukaa pembeni maana anajua msimamo wangu juu ya ndoa..tunapendana ila ameomba break( huyu wa sasa namuonea huruma maana issue kuu ni yeye kipind hiki kutaka ndoa/kaajiriwa na tunakaa pamoja miaka yote hiyo mitano..mwezi uliopita ndo aliamua kupanga kujitegemea tuweke ile space kidog maana anahisimaybe ita chnage mtazamo juu ya kutaka ndoa tukae official...pia naamini ni uhuru binti anatarajia pia,,maana huyu manz msaarabu mcha mungu na yupo makini..ila wanawake bwana awa viumbe wakuwa nao makini kila dak
3. Huyu awali nilijua ni umalaya..ila all these years nimekuja gundua ni ana tamaa sana..imagine nilikutana na shemej yangu mdogo wake toka nikutoke alikuja kunisalimia kama mwezi uliopita..alisema ''ujue sister kinachomsumbua tamaa, yani watu anao date nao ni kimaslai sana''
4. Mkuu kwenye ndoa siwez kukushauri au kukataa,,maana hata mimi inshallah mwakani huyu akiendelea kukaza ntabidi nifanye official maana kuna baraka zake ndoani kwenye maisha..ila sitofanya sherehe just a small gathering maana ile ya kwanza ilikuwa kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…