Ndoa yangu ipo ICU !dah

Huna akili we boya
 
Miaka karibu 7 toka huu uzi uwekwe..vipi mkuu ndoa yako ilipata nafuu?
 
Ulizidisha tatizo baada ya kumfuata huko Morogoro umeonyesha udhaifu mkubwa sana hapo asilimia kubwa ya wanawake walioajiriwa ni pasua kichwa aspokuwa ngangari Kila mkuu wa idara atamtafuna Kwa muda wake.

Achana naye chukua watoto wako umuache aendelee na umalaya wake la sivyo atakuletea Ngoma humo ndani hata hao wanaomgonga lazima Wana watu wao siku wakishatosheka watamwacha na hapo ndipo inapokuja ile kauli ya majuto ni mjukuu.
 
Mambo karembo
 
Bado unachembechembe za usaliti, haujanyooka.
 
Ina maana bosi wako asingeleta mapicha picha huyo mchumba wako ndio ulikua ushamuacha, nimeumia utadhani yananihusu. Na ungekuja kujutaa, kupata mtu ana nia ya kweli si rahisi huwa ni bahati tu.
 
Ulisha liwa , ukiona manyoya ujue tayari malaya uliyechangamka
 
U
Piga chini watoto peleka kwa bibi yao au dadako au abaki NAO ila utalea. Huyo atakuua kwa sumu au magonjwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…