Ndoa yangu ipo ICU !dah

KAKA Hapo kwa watoto panahitajika roho ngumu sanaaaaaaaaa............................yaan giveup hyo ndoa ishakua ngumu kwako hyo dada muache haraka sanaa ni cancer hyo utakuja kufa hata kwa msongo wa mawazo.....vunja ndoa kama dini yako hairuhusu kuoa tafuta mtu akulele wanao haraka sanaa.
 
Mkuu a marriage is a shield against all odds...
Afu isitoshe huyu ni mkewangu sio mwanamke tu
Sawa ni mke wako mkuu lkn na wewe umekuwa lenient sana huyo mwanamke ameshakuchoka long time na tayari amepata mtu wa kumove on nae what you were supposed to do was to discern this fact and decide to move on na maisha yako zamani sana badala ya kukaa unambembeleza.
 
Hello pole sana sana kbs!! Mapenzi yanaumiza sana ila kwa hali iliyofikia ushauri wangu achana na huyo mwanamke. Watoto nyumba unayo rudi dar Anza upya tafuta house girl nenda kazini fits mawasiliano kbs na namba kama unameikalili isahau acha kbs kupiga sim..moyo ukizidi kukuuma uambie TULIA TUTAVUKA TU... huyo mwanamke ukiendelea nae atakuua muache mimi binafsi nina watoto watatu wote mama tofauti na huyo nilienae niliiahamwambia mie nikiona text tu nakupiga chini... maana ya mwanaume kua na maamuzi magumu.. wanawake tumeumbiwa sisi wanaume utapata mungine mzuri zaidi
 
Pole sana ndugu naamini kabisa kuna kitu na mahali pagumu sana unapitia, nachokuomba jaribu sana kutafuta njia ya kifamilia kusuluisha hili swala ila kibinadamu shemeji kumrudisha kwako ni ngumu sana maana wanawake wao huwa mioyo yao huwa ikisha waka mahali ni ngumu sana kuizimisha kwahiyo ni vigumu sana kumrudisha kwenye mstari unao utaka, kinacho niuma hapo ni watoto watakao bakia na upande mmoja hilo swala limenikuta mfarakano wa wazazi maisha yanakuwa magumu sana, Nakuomba kila lakheri upite salama ktk hilo.
 
Kama mtu kasema kwa kinywa chake mwenyewe umuache unasubiri nini?
Kuna watu mna moyo sana. Inaonekana huna michepuko nje. Ndio hasara ya kuoa mke mmoja bila michepuko.

Ushauri: PIga chini, chukua watoto lea. Kama hataki muachie watoto, wanawake wamejaa kitaa hawana mbele wala nyuma, wanahitaji mwanaume tuu wakuwapa angalau mlo. Unakalia ujinga hapo
 
Pole sana.....''usiponiimbia wewe, mawe yataniimbia'' ni nukuu!.. toka hapo kamtumikie Mungu unayemuamini, maisha ni once only.......suala la watoto mkubaliane nyie wawili tuu.........ndoa ni watu wawili, wa 3 iblisi....
 
aaah
 
mammama joka
 
Pole sana mkuu.

In the meantime tafuta kamchepuko upunguze stress, ili uweze kufikiri straight.
 
Aisee bro, kwanza pole sana kwa yaliyokukuta lakini pili, kwa nilivyoelewa story yako, Huyo mwanamke anaonekana kama ashampa moyo wake mwanaume mwingine ndio maana anakimbilia kutaka muachane ili awe na uhuru kamili wa kujiachia na 'jamaa' yake mpya bila vikwazo.

Nisingependa kukuumiza zaidi lakini kiukweli hapo unapigana vita ambayo ushapoteza. Mwanamke akishahamishia mapenzi kwa msela mwingine, its game over, harudi unless amekwenda huko akadhurika.

Busara hapo ni kuitisha kikao, umwache kea utaratibu. Waeleze wazazi kwamba naona mwenzangu kachoka maisha ya ndoa na mimi, nataka nimpe nafasi. Kisha songa mbele na maisha yako. Maana kwa msononeko huu, Utapata pressure na mengineyo Ufe kisa mwanamke. Yangu ni hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…