Ndoa yangu ipo ICU !dah

Dah unaweza kulia aisee
 
Good move. Hongera stay strong and humble.
 
tunaingia tu lakin ndoa ni ngumu sana.... kuishi na usiye na undugu nae ni kaz Sana. 😫
 
Jamaa shupavi ila ndo anaumia
 
Hahahaha
 
Mwaka mzima huu umemgegeda 15 times tu???!!!
Hata ambao hawajaoa wamemzidi yaani kama riadha watakuwa wamemzunguuka mara 10...

All in all pole yake ila nina imani mambo yataenda sawa maana haya matatizo yanachangiwa wakati mwingine kuingia kwenye ndoa wakiwa hawapo tayari ama wanaingia kwenye ndoa kwa ajili ya kufurahisha jamii na ndio maana huwa nasema ni rahisi kupata MKE kuliko GIRLFRIEND maana girlfriend ukimtokea anaweza kukuuliza kuhusu hatma ya uhusiano wenu na akiona hueleweki anasepa lakini huyo huyo ukionyesha nia ya kuoa na process ya kungaza nia umeonyesha anajua upo serious na matokeo yake ndio kama haya
 
Jamaa unafikilia sana
 
Juzi kati tu apo kuna jirani yangu katangulia kwa Allah alioa akabahatika kupata mtoto mmoja baada ya miaka mitatu ya ndoa mwanamama akabadilika full kuleta pigo kama izo kitu kidogo anataka Taraka jamaa akagoma kutoa mwanamama ikabidi ahame miaka minne mbele mwanamama akapa ujauzito wa mwanaume mwingine sasa mume kupata taharifa kuwa mke ana mtoto presha ikapanda karudisha No kwa Allah
...
Pigo izo zikizidi achana nae kk utakufa mapema kabla cku zako hazijafika
 
Pole Sana kwa hilo Mimi huwa naamini kila me ana ubavu wake, ushauri kutoka kwangu ni kwamba huyo si ubavu wako, kama Ni watoto isiwe kikwazo mbegu huota hata kwenye miamba, beba wanao mwache na dunia yake akistuka tayari una maisha yako
 
daaah kwanza naomba nikupe pole...pili nashukuru Mungu kuwa kumbe tupo wengi katika hii situation..kuna kipindi kidogo nijiue but Mungu akaniokoa.
 
Sisi wananaume ni viumbe wa ajabu sana. Tukichepuka kwetu ni sawasawa ila wenzetu nao wakifanya hivyo inakuwa balaa.
Mkulima huvuna anachopanda huwezi kupanda choroko ukavuna mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…