Cheguevara Jr
Senior Member
- Feb 20, 2014
- 134
- 128
Fimbo ya dunia nzuri zaidi amuache tu kiroho safi asikunje roho . Mke ameolewa na unarudi kwenu unapokelewa na una watoto na mume ... Hivi unaanzaje kumwambia dingi issue za hivyo ....kuna shida mahala ...Pole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...
Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.
Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.
Kila la kheri...
Hapo kwenye kufanya uhamisho mimi ndo nilihusika kwa hilo.na kuratibu mipango yote.Muvi linaanza tu kwenye "KUJIOMBEA UHAMISHO BILA MALIPO KURUDI NYUMBANI KWAO DAR " ... Hakuna ndoa hapo ... Anza maisha mapya tu ndugu
Kama akiweza kufanya paperwork itakua vizuri zaidi kwa akili zao huyo dada jamaa akisimama tena kimaisha atakuja kudai na yeye ni mke wa ndoa atataka mali .... Aifute mbinguni na duniani ... Kwenye imani yao wajue na serikali ijue. . fresh tuNasimama na comment namba 3 & 4.
Shtuka baharia
Ukaratibu akirudi akae kwao !!?? Na mfanyakazi umeoa !!? Kwa nini asikae kwenu !!?? .Hapo kwenye kufanya uhamisho mimi ndo nilihusika kwa hilo.na kuratibu mipango yote.
Nashukuru kwa hiloSijui Experience ya ndoa kwa maana sijaoa ila kwa akili ya kawaida tu hapo hakuna mapenzi. Na yalishakufa toka yupo mkoa hapo Dar mmekuja kuyazika tu.
Last attempt ni kutafuta sehemu Dar ya kuishi na kwenda kumchukua akikataa muache aende zake. It's not easy kufanya maamuzi hayo ila ndio best thing for your well-being.
Hapa ishu ni kwamba kwao ni karibu sana na sehemu yake ya kazi ndugu yangu,kuepusha usumbufu niliona ni vyema akae kwao kwa mda.mimi kwetu ni mkuranga.sasa kutoka mkuranga mpa UDSM ni mtihanUkaratibu akirudi akae kwao !!?? Na mfanyakazi umeoa !!? Kwa nini asikae kwenu !!?? .
Umeoa? Una ndoa? Una Watoto?? Huujui unachosemaSi anataka kuachwa muache mzee, usilazimishe kijani kuwa nyekundu, kwanini ubembeleze mapenzi, utakufa bure kwa kufosi mambo. Kwani bila ya yeye wewe hupumui, kifupi hana mpango na ww na ukilazimisha atakuja kukupiga tukio moja uione june-july
Nashukuru kwa kunifariji mkuu,yaan kumpoteza mtu uliyemthamin na kushea mambo mengi inaumasanaNdio maana sina ndoto ya kuoa na kua na familia, ila ukweli ni kwamba uyo mkeo ashapata mwanaume mwingine mwenye ela na hasa ukizingatia ww kifedha umeyumba basi apo amna kitu, na mtoto wa mjini daslam tena! Achana na uyo mwanamke akutaki Fanya mpango wa kutafuta ela ila kamwe usimsamehe uyo mwanamke maana kesho atarudi tena kwa magoti kuomba msamaha, angalia namna ya kulea watoto wako kwa kadri uwezavyo.
Vivid example ni mm mwenyewe nilikua na mke na mtoto. Mwanamke akaanza tu from no where anataka kuondoka pasi na sababu za msingi kujaribu kufanya kila kitu kumzuia tena tukiwa na wazazi wangu na ndugu zangu akakataaa na maneno machafu kama yote. Nikamuacha akaondoka, ni suala la wiki tu akataka kurudi na kwakua ckumfukuza na amna hoja ya msingi iliomuondoa nyumbani kwangu, kaka nilikataa na ndoa iliishia apo mpaka Leo aamini.
Funzo, mwanamke akidai kuondoka kwako au kuachana bila sababu za msingi yani ujampiga, ujalala nje ya nyumba na ujamnyanyasa kwa lolote, muache aende na kamwe akitaka kurudi usimruhusu muache jumla.
Naomba kuwasilisha.