Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Duh, kuna imani nyinigine hata shetani mwenyewe hazikubali. Sasa hao dada zake walikuwa wapi kumwambia wakati anakuoa? Kwani wakati mnaoana hawakujua kwamba katika ndoa kuna kuzaliwa mtoto wa kiume au wa kike? Omba nafasi ya mzungumzo rasmi na mmeo juu ya hilo. Maana kuna uwezekano dada zake hawakupendi na hivyo wanatafuata sababu ya mmeo kuachana na wewe. Jaribu kutafuta kiini cha dada zake kuamua kumwambia hayo kaka yao.Mimi ni mpare na mume wangu ni mchaga (MMACHAME)....ndoa yetu ina miaka 6 na miaka yote tumeishi kwa furaha na upendo..Mumgu ametujalia watoto 2 mkubwa 5yrs wa kike mdogo 3 month wakiume...Toka nijifungue mtoto huyu wa kiume mume wangu amepunguza mapenzi na mimi na wala hampendi kabisha huyu mtoto,Nilipomuuliza anadai dada zake wamemweleza kuwa kuzaliwa kwa mtoto huyu ndio mwisho wa maisha yake,Eti mimi nitamuua sbb wapare wanatabia ya kuua waume zao punde wapatapo watoto wa kiume. Yn naumia sana roho kwani nilidhani mtoto angekua furaha kwa mume wangu kumbe amegeuka hofu kwake,Nifanyaje jamani
mme ekaiwe na vadada vakwe,ni igonji levendiwe ni mbuaNa wewe uliolewa na zombie squared. Yaani linaambiwa maneno na dada zake afu linakuja kuhofia home. Lidharau, acha likutaliki usepe, kirundu kabisa!
we uliskia wapi mpare ameua mume wake?Duh wapare noma
Na wewe uliolewa na zombie squared. Yaani linaambiwa maneno na dada zake afu linakuja kuhofia home. Lidharau, acha likutaliki usepe, kirundu kabisa!
tha igonjiKweri lirundie.