Ndoa yangu imekuwa mwiba, nisaidieni jamani

Mungu akupe wepesi dada, atahangaika Sana lakin mwisho WA yote utabaki kua mke wake tu

kuondoka sio suluhisho hakuna nzuri cha muhimu vumilia tu yatapita
 
Kuhusu kuchat muda mwingi na simu... kwa vyovyote vile kuna kitu kwenye hizo chats ambacho kinamvutia zaidi ya kuwa na wewe. Kwa kifupi mumeo kuna uwezekano mkubwa anaendelea kucheat na huyo uliyemfumania nae au wengine wengi.
Mweleze ukweli kuwa unajua hilo na sio sawa, mwambie pia wewe unaweza lakini una mtunzia heshima yeye. Achana na habari ya maombi bila kuwa umekaa na umeongea nae kwa uwazi vitu vinavyokukwaza, utakuwa unajidanganya tu.
pole sana na kila lakheri.
 
anaanza kusema oh kichwa kinauma Mara alijisika tumbo linauma yani kama anaua soo hivi.
Makubwaaa! Kichwa na tumbo tena? Huyo kweli kakuchoka. Hizi excuses huwa tunatoa sie kina mama jamani. Hebu jaribu kukaa nae chini mlizungumzie hili swala. Whatsapp imeleta balaa watu wamekuwa watumwa, message ikiingia tu mtu anaruka utafikiri kangatwa na nge. Pole sana!!
 
Biashara za kuacha ndoa hakunaga.
abiria chunga mzigo wako mana mume hauzwi sokoni.
Km ni mtaji jiongeze hyo hela anayokupaga kila mwisho wa mwezi, dunduliza utapata mtaji,acha maisha ya akina sepetunga kila wiki shoping
Mwisho tafuta msela piga nae mdomdo kuondoa stress..hata mungu anaona
 
Habari zenu wana JF,

Mume wangu hajaniomba papuchi miezi mitano now, siku hizi amekuwa bize sana na kuchati katika magrup ya wasap kiasi kwamba hana hata muda wa kuongea either na mimi au mtoto anakaa sebuleni mpaka saa 7 usiku akija room anakuta tulishalala na mtoto saa nyingi. Then Siku nikimgusagusa anageukia ukutani anajifunika gubi asubuhi anaanza kusema oh kichwa kinauma Mara alijisika tumbo linauma yani kama anaua soo hivi.

Niliwahi kumkuta na msg za mapenzi akadai kwamba mimi ni mpekuzi nisimfwatilie kuanzia hapo kaweka simu zake zote password.

Kwa kifupi kawa mkorofi ukitaka kuchat naye anakujibu short hataki maongezi marefu, imefika akitaka kusafiri hata hakuambii utasikia tu anakwambia Leo nitaenda South. Ndoa yetu ina miaka mitatu now lakini nina miaka miwili sijaitwa jina zuri kama mpenzi mke wangu nk achilia mbali kuwa mimi namwita majina mazuri, namfulia, nampasia,nampakia vizuri nk.

Amekua mbinafsi shoping anafanya yake tu na mtoto mimi hata bodyspray hakuna wala hela ya matumizi haachi kwa kuwa ananipa laki na nusu kila mwisho wa mwezi ninunulie kila kitu.

Mimi ni mwanamke mzuri, nina hofu ya Mungu na elimu ya degree ndoivyo tena ajira hamna, nikimwomba hela ya mtaji nifanye biashara anasema hana hela na wakati hela anazo tu na mimi naziona.

Nianyaje ndugu zangu naumia sana kwani tulipendana sana na tulifahamiana vizuri miaka mitatu kabla ya ndoa. Je niachane na hii ndoa nikaishi tu kivyangu maana nimechokwa vibaya kiasi cha kukata tamaa sasa.

Asanteni naomba ushauri utakaobadilisha haya maisha yangu.
vumilia tu usikate tamaa, hayo ni mapito tu hicho ndicho kile kiapo kwa shida na raha ila kuna kitabu kimoja cha mchungaji kenneth onyeme wa largos, naigeria, kimenisaidia sana kama hutajali ni pm nikutumie
 
wanaume yaani siku hzi ni majanga matupu!!
Sio kweli. Sio majanga. Kuna chanzo ambacho naamini mke anakufahamu vizuri. Mwanaume amegoma kujishusha. Aanzie hapo mambo yatakuwa mazuri. Anachopaswa kuelewa mke wake ni kuwa mwanaume hakomolewi hata siku moja.
 
Kumbe kwenye ndoa kuna mambo mengi hivi,pole mamy,kazana maombi,pia ikiwezekan shirikisha wasimamiz wenu wa ndoa yawezekan ukapata msaada,maan hiyo ni haki yako,,omba sana huku ukifunga maana kuna watu wapo ulimwenguni kwajili ya kuumiza wenzako,weka imani na tumain kwa mungu hakika itafika muda atabadirika mume wako
 
Usipojishughulisha kwa lolote lile kwa ajili ya kumfurahisha mpenzi wako utasababisha mwenzako achoke na hata kufikia mahala akakasirika. Ili kuepuka haya, hakikisha kuwa unayapa kipaumbele mambo ambayo yanamfanya mpenzi wako kujihisi maalumu kwako. Na njia rahisi zaidi ni kuwekeza katika matendo madogo madogo ya kimahaba.

Kumbuka, kauli moja hasi au ya kuvunja moyo inaweza kuhitaji kauli kama ishirini chanya ili iweze kufifia (si kufutika) akilini mwa mpenzi wako. Hii ina maana kwamba, badala ya kumlaumu mpenzi wako, wekeza zaidi katika kumsifia katika mambo yake, au mambo anayoyafanya utakavyo.
 
Upo mama? Nimekumiss
 
Habari zenu wana JF,

Mume wangu hajaniomba papuchi miezi mitano now, siku hizi amekuwa bize sana na kuchati katika magrup ya wasap kiasi kwamba hana hata muda wa kuongea either na mimi au mtoto anakaa sebuleni mpaka saa 7 usiku akija room anakuta tulishalala na mtoto saa nyingi. Then Siku nikimgusagusa anageukia ukutani anajifunika gubi asubuhi anaanza kusema oh kichwa kinauma Mara alijisika tumbo linauma yani kama anaua soo hivi.

Niliwahi kumkuta na msg za mapenzi akadai kwamba mimi ni mpekuzi nisimfwatilie kuanzia hapo kaweka simu zake zote password.

Kwa kifupi kawa mkorofi ukitaka kuchat naye anakujibu short hataki maongezi marefu, imefika akitaka kusafiri hata hakuambii utasikia tu anakwambia Leo nitaenda South. Ndoa yetu ina miaka mitatu now lakini nina miaka miwili sijaitwa jina zuri kama mpenzi mke wangu nk achilia mbali kuwa mimi namwita majina mazuri, namfulia, nampasia,nampakia vizuri nk.

Amekua mbinafsi shoping anafanya yake tu na mtoto mimi hata bodyspray hakuna wala hela ya matumizi haachi kwa kuwa ananipa laki na nusu kila mwisho wa mwezi ninunulie kila kitu.

Mimi ni mwanamke mzuri, nina hofu ya Mungu na elimu ya degree ndoivyo tena ajira hamna, nikimwomba hela ya mtaji nifanye biashara anasema hana hela na wakati hela anazo tu na mimi naziona.

Nianyaje ndugu zangu naumia sana kwani tulipendana sana na tulifahamiana vizuri miaka mitatu kabla ya ndoa. Je niachane na hii ndoa nikaishi tu kivyangu maana nimechokwa vibaya kiasi cha kukata tamaa sasa.

Asanteni naomba ushauri utakaobadilisha haya maisha yangu.
Poole sana haya mambo mazito sana ila ka uongee nae kifupi Kuna shida tena kubwa sana haswaa upande wake na kwa nnavyojua mie mwanaume akianza kutoka nje ya ndoa kumweka sawa ni kazi sana mpka uongee nae vizuri akubali tatizo ila usichoke kama wampenda tena sana ongea nae akikuzingua tafuta ndugu/wazee wa karibu myajenge hapo itakua mwisho wa reli na waelezee ukweli unatakaje abadilikeje kifupi wanawake wa nje wanakuja kwa tamaa tuu na kwaajili ya kubomoa ndoa hawawezi kumfikisha popote wewe ndo una malengo nae
 
Usipojishughulisha kwa lolote lile kwa ajili ya kumfurahisha mpenzi wako utasababisha mwenzako achoke na hata kufikia mahala akakasirika. Ili kuepuka haya, hakikisha kuwa unayapa kipaumbele mambo ambayo yanamfanya mpenzi wako kujihisi maalumu kwako. Na njia rahisi zaidi ni kuwekeza katika matendo madogo madogo ya kimahaba.

Kumbuka, kauli moja hasi au ya kuvunja moyo inaweza kuhitaji kauli kama ishirini chanya ili iweze kufifia (si kufutika) akilini mwa mpenzi wako. Hii ina maana kwamba, badala ya kumlaumu mpenzi wako, wekeza zaidi katika kumsifia katika mambo yake, au mambo anayoyafanya utakavyo.
Samahan umeolewa???
 
Biashara za kuacha ndoa hakunaga.
abiria chunga mzigo wako mana mume hauzwi sokoni.
Km ni mtaji jiongeze hyo hela anayokupaga kila mwisho wa mwezi, dunduliza utapata mtaji,acha maisha ya akina sepetunga kila wiki shoping
Mwisho tafuta msela piga nae mdomdo kuondoa stress..hata mungu anaona
Duuuh apo kwa msela nahisi umeharibu!
 
Duuuh apo kwa msela nahisi umeharibu!
Sija aribu mkuu
Hivi unakaa na mwanaume wiki,mwezi hakugusi kwani we dadake?
Au huyo mwanamke hana hisia yy cyo binadamu?
Mambo mengine wanaume mnasababisha bob.
 
Back
Top Bottom