ahaaaa si ukweli bwana aliwekwa mahali sasa kumesanuka kaona arudi kwa mnyonge wake..ila amejifunza hatorudia tenaSmile mbona unamkatisha tamaa mwenzio...shock absorber sio...
Unapokuwa huna pesa nyumbani hutoki; mwisho wa mwezi unapofika Kassimu huonekani
tatizo ulikuwa unakula na kujazia ovyo bila mazoezi. unaonaa..eeeeh? sisi wanaume ni watu wa ajabu kisi fulani. tunaweza ku-lose interest kwa wake zetu kutokana na wake zetu kujazia miili ovyo. wanawake fanyeni mazoezi ya viungo..mantain figure. pia jishughulisheni katika miradi..sio kila siku mizinga kwa hubs wenu! mnaona...eeeh mwenzenu!
jamani, lakin skunenepa sana!!!
Nimewahi kusikia juu ya utafiti fulani (sijui unaitwaje na wa mwaka gani) ila nilisikia katika chombo kimojawapo cha habri kinachoheshimika katika mataifa kadhaa kwamba ndoa kutengamaa (kwa maana ya mke na mume kuondoka katika misuguano na misukosuko) inachukua hadi miaka 7!
Nikajaribu kuitathmini ya kwamngu yenye umri angalau miaka 17 sasa na watoto kadhaa nikabaini ukweli wa kiasi kikubwa maana mwanzoni mawimbi yanakuwa mengi mmno.
Kwa hivyo dada hongera sana kwa kuurejesha uimara wa ndoa yako katika mstari, muombe MUNGU kama research hiyo ni ya kweli inaonesha unakaribia sana ku-graduate.....
Sasa yeye mwenyewe si amesema alikua na shaka?kupima nini mwali?
Mazoezi yamekufanya urudi kwenye ujana...sasa usije acha sasa eti kisa mmeshaelewana. Lol