red apple
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 780
- 1,216
ni miezi karibu mitano, my hubby alibadirika kabisa! hatukuwa na story ndani ya nyumba, hakuwahi kuwa na hamu na mimi, nikitaka kuongea nae he was like "every thing is ok" mpaka nikakumbuka tangazo la "hisani ya watu wa marekani linalosisitiza kuvunja ukimya" imagine tulimaliza miez miwili bila hata kunigusa ( bila ku duu). and then nikawa too lonely sometimes nkapata na idea ya ku flirt but dhamira ilinisuta... nkabaki naumia. Nikaa mua kuchunguza kama he is cheating on me but sikuambulia chochote ila nkagundua jamaa ame loose apetite nami completely ananiona like no body.
And then nika amua kuishi maisha yangu, nikawa busy na kazi sikumsumbua tena.. sikumgusa. Nikaamua kuwa happy nikatafuta na short course nikasoma. Weekend nikawa nakaa sana kwenye biashara yangu. Nikaanza na mazoezi kila siku jioni nyumbani nikawa busy na kids na kuchat with friends... in short nika amua kumpa some space (kuubwa) huku nikiugulia kwa wivu ndani.
Ghafla ths month akabadirika kaanza kuniambia how beautiful Iam, how much he loves me na amekuwa na wivu nami etc.... ndoa imekuwa tamu ajabu. Najiuliza alikuwa na mtu sasa amemwacha? alikuwa kanichoka? nilikuwa na mbana sana? au ninini? ndoa yangu ni ya 6 years with blessed two kids.