Ndoa yangu haina amani

Didier Drogba na Mkewe walikuwaje tena? embu funguka kidogo Mkuu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupenda bure kwa maelezo haya Mama.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ooh, mkeo kashaanza kupeleka kidonda chake kwa daktari mwingine...
 
Baada ya kuona vilio vingi Naomba nitoe maelekezo kwa wanaume wenzangu kwa wanawake mnaotaka kuoa

1. Kamwe usioe mwanamke mwenye chembe za ufeminist
2. Jua tabia za mama wa msichana unaetaka kumuoa kwa sababu mama wa msichana ndio msichana mwenyewe kama mama anapiga urabu, anachiti binti yake hataacha hizo tabia za mama

3. Tambua mazingira/familia aliyokulia binti ndani na nje kama familia ina tabia ovu ndugu yangu utaoa mwovu tu

4. Usioe mwanamke uliyemsomesha au umetumia gharama kubwa kupata/kuteka moyo wake

5. Usioe binti ambaye kwao yeye ndio anasauti akisema kitu mji wao unarespond

6. Usioe binti anaependapenda vikoba sijui sakosi sijui bla bla zingine

7. Usioe binti aliye na marafiki wengi wa kiume au anaejulikana sana, kamwe usioe binti anakunywa pombe na usijidanganye kuwa nikimuoa atatulia

8. Usioe binti anaekaa sana kwenye mitandao au kujua na kufuatilia sana habari za udaku, mara Paula sijui diamond amelala na nani ana gari fulani nk nk kumbuka kwa kiasi kikubwa tabia ya mkeo ndio itakuwa tabia za watoto

9. Usioe binti anaevaa vibaya na asione shida yoyote apitapo mtaani

10. Usioe mwanamke anaependa out au tabia za ushindani, pia usipishanishe umri mkubwa kati yako na binti

Jana Mama kasema sisi tunachangia mbegu tu mengine tuwaachie

NILIYOYASEMA HAYO BASI NA WEWE MWANAUME UWE NA TABIA NZURI

NB, Ukitaka ndoa yako idumu basi oa mwenye tabia za kufanana na wewe ( kama wewe ni mlevi, mzinzi, kibaka, bangi, mpole, mwadilifu nk nk oa mwenye tabia hizo hizo hapo mtadumu milele.

Asante ( neno langu sio sheria)
 
Aiseee... Hizi nyuzi mwezi huu zimekua nyingi sana! Kila mtu anamlalamikia mkewe!!

Ila ni wanawake wachache sana wanaweza kuingia SUB baada ya Mwanaume kuyumba then wakaperform bila kuleta dharau..

Eee Mwenyezi Mungu tupiganie wanaume.
Wewe si unaona hata Mama Samia nae anavyotuchachafya??.Acha tu ndugu yangu, MUNGU pekee ndiye mtetezi wetu ktk taabu.
 
Mkuu fanya juu chini jaribu kuyumbisha hiyo biashara anayofanya mkeo ili wote muwe sawa na muanze upya.
Hiyo huenda ikasaidia.
Sema Mwamba anawaonea huruma watoto,anaona Bora amwache mkewe na watoto,yeye akasake maisha.
 
Inategemea na aina ya mke, niliwahi kufulia japo mke wangu hakuwa na kipato kikubwa sana lakini alisimama imara mpaka hapa nilipo na sikusikia jambo lolote la kudhalilisha utu wangu.
Huyo alikuwa amefundwa vilivyo.
 
Umeonge Kweli kabisa.


Embu kaifungulie uzi hiii comment ..

Ibakie kumbukumbu kwa waotaka kuoa
 
Ngoma usiyoicheza huwezi kujua utamu wake.
 
,Hayo sasa hayakuwa Mapenzi ya kweli,yaani unampelekea moto kwa Nia ya kumuonyeshea.
 
Hivi ninyi wanaume wengne huwa mnaishije na mke!!!? Yaan wife unamuulza kuhusu msosi, anakujibu kijeuri kabsa, yupo ndan ya nyumba uliyoijenga kwa nguvu zako, biashara yake imetokana na mtaji wako!!! Aseee, hapa na imagin ningelikua mim, ngoja niache tu kuwaza maana nahisi hasira kunipanda, ninaweza kupasua mtu kichwa siku hiyo!
 
Nafurahi kuona wanaume bado tupo

Et wife hupiki???


Sipikiii leo ulale njaaa

Kweli jamaaa akalala nja


Manina
 
Brother..uoga wako ndo umasikini wako,mkeo amekupanda kichwani kwa sababu uliruhusu demokrasia uchwala kwenye familia Yako yaani ulijifanya una mapenzi ya kizungu wale Kila mmoja anajua mipaka yake iga ufe.

Cha kufanya.

Tafuta mtaji wowte fungua biashara yoyote unayoipenda Fanya awe anataka au hataki, halafu mpige marufuku kukushauri, kuongea na wewe kama vile anaongea na mwanae maana naona hata kufokewa unafokewa wewe...muite mkalishe chin ukiwa na sura ya mbuzi, akikataa akaleta nyondo mpe masaa siku au dakika awe ameshafanya unavyotaka akikaidi huyo no halali Yako, tembeza vibao hata kama utaua.

Nakwambia tembeza vibao, wewe tembeza vibao TU maana huyo tayari ana kiburi kilichosimama wima.

Ila uwe tayari kwa ghalama zitakazojitokeza na uwe mpole.
 
We kuondoka ndio anachotaka kuliko kitu chochote kwa sasa anakunyanyasa ili ufikie hali ya kukata tamaa uza baadhi ya thamani za ndani kama zipo za pesa ndefu kidogo then komaa na biashara.

Au kama vipi mwambie asepe kwao akuachie nyumba na watoto hutakosa namna ya kuishi.

Halafu we jamaa wa mkoa gani sisi ni watu wabaya sana mwanamke hanaga sauti kwetu kamwe tena nyumba umejenga mwenyewe? Thubutu kabila langu mimi huyo angesepe hata akiondoka na watoto aende tu. Anyway ni asili tu ya kwetu.

NB:usiniulize kabila langu Nyerere alikataza
 
Sasa hapo mkuu c hakuna wa kuolewa sayari ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…