Sio poah mkuuHivi kumbe kwenye ndoa kuna inshu serious hivi!
Una Elimu gani?, Huwezi tafuta kazi yoyote ile? Tafuta kitu chochote cha thamani uza, fungua biashara isiyohitaji mtaji mkubwa, hata kama ni banda la chips anzisha, sio lazima iwe karibu na nyumbani unapoishi, kwa mfano kama unaishi Kimara anzisha Banda Mbezi jinsi utakapokuwa busy na biashara moja itakufungua mawazo zaidi ya nini cha kufanya, ukipata mahali pazuri unaweza weka chips na Supu ya makongoro na ndizi.Ukweli nimechoka nahitaji kusafiri mbali na nyumbani kwangu kila mtu aishi maisha yake maana tunakaa muda wote kama mtu na mke mwenza.
Ndoa yangu ina miaka 5 tuna watoto 2. Nilikuwa nafanya Biashara vizuri nikafanikiwa kujenga nyumba ya Familia na kumfungulia wife biashara naye ili asinitegemee kila kitu.
Bahati mbaya biashara yangu ikayumba nikawa nakomaa nayo ila yeye muda wote ni kunikatisha tamaa niachane nayo.
Nikapata dharura ya kusafiri kwanda mkoani kwa wazazi nikamwacha kijana.
Huku nyuma wife akamsonga songa kijana mwisho Biashara yangu ikafugwa nikapigiwa simu na wife kijana anaingiza hasara nimefunga.
Niliporejea home uzi ni ule ule anataka niachane nayo. Kweli nikaamua kuachana nayo kwani kodi ya pango iliisha na pia palifugwa wateja wangekuwa wametuhama zaidi hivyo nikilazimisha naweza tengeneza hasara na madeni
nikahitimisha kufunga Rasmi.
Niko zangu home najipanga kutafuta mishe ya kufanya wife ndiye mwenye kazi ndiye kila kitu kinacho husiana na hela. Manyanyaso yakaanzia hapa,
kelele, kupangiwa anachotaka.
Jumamosi ya ngao jamii kati ya Simba na Yanga niliomba Elfu mbili tu nikakae kwenye kibanda umiza niangalie mechi nilitolewa nje.
Siku hiyo nilishinda home kuna kazi nilikuwa nafanya. Nilichoka kweli,
basi nikajirudia zangu home saa 18:00 kujilalia saa tatu na nusu akawa anaingia. Alipofika akanyosha moja kwa moja kitandani. Nikauliza “wife hupiki?” maana njaa inauma. Akasema sipiki na sijakununulia chochote tutakula kesho. Kila nikimwongelesha kimya basi kuepusha shari nikakaa kimya nikalala japo usingizi wa tabu uchovu + njaa + mawazo
Kuanzia siku hiyo ni kununiwa hakuna kusemeshana. Nimewaza niuze nyumba nipate mtaji naona ugumu biashara zikigoma.
Wazo langu kwa sasa kwa sababu sina thamani kwake niondoke nikatafute maisha mbali ata miaka 10 ili nipate amani na faraja. Nahofia nitakufa bure na mawazo naye abaki na amani yake anilelee tu wanangu.
Kuwa makini,wanawake karibu wote ukiwa na pesa hatakusumbua sana,ila pesa ikikata wema na mazuri yote uliokuwa unayafanya huwa wanafuta vichwani mwao,sasa wewe ni mwanaume amua kama mwanaume,hapo ulipofikia ndio wanaume wengi dhaifu huwa wanaishia kukata tamaa na hata kuamua kujiua akifikiri italeta suluhu,kuna nyakati katika mahusiano ya ndoa inahitajika uwe aggressive,sio kumpiga ingawa ikibidi apigwe,ila ni lazima uonyeshe kuwa wewe ndio mwanaume na unaloliamua ndilo litakalokuwa...Ukweli nimechoka nahitaji kusafiri mbali na nyumbani kwangu kila mtu aishi maisha yake maana tunakaa muda wote kama mtu na mke mwenza.
Ndoa yangu ina miaka 5 tuna watoto 2. Nilikuwa nafanya Biashara vizuri nikafanikiwa kujenga nyumba ya Familia na kumfungulia wife biashara naye ili asinitegemee kila kitu.
Bahati mbaya biashara yangu ikayumba nikawa nakomaa nayo ila yeye muda wote ni kunikatisha tamaa niachane nayo.
Nikapata dharura ya kusafiri kwanda mkoani kwa wazazi nikamwacha kijana.
Huku nyuma wife akamsonga songa kijana mwisho Biashara yangu ikafugwa nikapigiwa simu na wife kijana anaingiza hasara nimefunga.
Niliporejea home uzi ni ule ule anataka niachane nayo. Kweli nikaamua kuachana nayo kwani kodi ya pango iliisha na pia palifugwa wateja wangekuwa wametuhama zaidi hivyo nikilazimisha naweza tengeneza hasara na madeni
nikahitimisha kufunga Rasmi.
Niko zangu home najipanga kutafuta mishe ya kufanya wife ndiye mwenye kazi ndiye kila kitu kinacho husiana na hela. Manyanyaso yakaanzia hapa,
kelele, kupangiwa anachotaka.
Jumamosi ya ngao jamii kati ya Simba na Yanga niliomba Elfu mbili tu nikakae kwenye kibanda umiza niangalie mechi nilitolewa nje.
Siku hiyo nilishinda home kuna kazi nilikuwa nafanya. Nilichoka kweli,
basi nikajirudia zangu home saa 18:00 kujilalia saa tatu na nusu akawa anaingia. Alipofika akanyosha moja kwa moja kitandani. Nikauliza “wife hupiki?” maana njaa inauma. Akasema sipiki na sijakununulia chochote tutakula kesho. Kila nikimwongelesha kimya basi kuepusha shari nikakaa kimya nikalala japo usingizi wa tabu uchovu + njaa + mawazo
Kuanzia siku hiyo ni kununiwa hakuna kusemeshana. Nimewaza niuze nyumba nipate mtaji naona ugumu biashara zikigoma.
Wazo langu kwa sasa kwa sababu sina thamani kwake niondoke nikatafute maisha mbali ata miaka 10 ili nipate amani na faraja. Nahofia nitakufa bure na mawazo naye abaki na amani yake anilelee tu wanangu.
Ushauri mzuri ,tena akikopa amwambie mi naenda kufanya mishe zangu hiyo nyumba nimekopa bank ,akilia itamkaa sawaMke wako mjinga yaani kahakikisha kaua biashara yako ili awe na dharau hivyo daah
Badala ya kuiuza jaribu kuitumia kukopea sehemu yoyote kwa pesa yenye dhamni sawa na hio nyumba ili hata ukishindwa kurudisha mkopo watakuuzia wao bila mkeo kuleta tafrani. Kwa sasa huwezi kuiuza atakupa matatizo makubwa
Amekusikia na tumekusikia Mkuu, nini kifanyike?HIVI GUYS NI WAPI MNAFELI???
WAPI MNAKWAMA NDUGU ZANGU???
KWANN MNAKUA IVI LAKINI???
KWANN HAMNA UANAUME ???
WHY?? YAAAN UUZE NYUMBA YA WATOTO WAKO????
YAANI UUKIMBIE MJI WAKO ULOUJENGA KWA JASHO LAKO????
ET MIAKA KUMI, ALAFU NIWE NA FARAJA.. UNADHAN MAISHA NIKM RAMAN YA NYUMBA????
JE UKIENDA HUKO ALAFU USIFANIKIWE HIYO MIAKA YOTE KUMI??
NDO URUDI UKUTE KESHAZALISHWA ???
AU MNAONGEAGA TU KUPIGISHA WATU STORI???
HIVI KUNA WANAUME MNARUHUSU MATESO YAWAPATE NAMNA HII???
NIKISEMA NIWATUSI ,MNASEMA NAWALUGHA MBAYA.
MNATIA HASIRA SANA!!!!
NIKWAMBA HAYO NI MADAWA NDO MNAFANYIWA ????
MNAKERA SANA MAZEEE, MNAKERA MNOOOOO, YAAN MNANYANYASWA NA WANAWAKE , WANAWAKE MLOWAOKOTA MAHALI, UKAMUOA, UKAMPA HESHIMA, AKAONEKANA MWANAMKE, UMAPA MRADI, ET KISA UMEKWAMA NAYEYE KAINUKA NDO BASI AKUTESE ??????
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana MtaachanaHizi ndoa zitakuja kuwaua. Wengi hamna furaha.
ok ndio nafikiria sijapata mkuukwa maisha hayo unayoishi sasa ni vigumu sana akili kitulia ukaanzisha shughuli nyingine ya kupata kipato.
nyumba usiuze ila hama. nenda sehemu nyingine mbali ukae mwenyewe upate amani ya moyo kwanza. maisha yatakua magumu kwa kuanzia kwa sababu huna kipato ila hakika baada ya muda mambo yatakua mazuri.
wala huna haja ya kugombana naye, we hama tu. muage kuwa unaenda kutafuta maisha sehemu nyingine.
Hahahahah kwahio akate na tawi kabisa walilokalia😀 ili waanguke mazimaMkuu fanya juu chini jaribu kuyumbisha hiyo biashara anayofanya mkeo ili wote muwe sawa na muanze upya.
Hiyo huenda ikasaidia.
Ubaya ni kwamba wateja wake wakubwa ndio wanamla hapo biasharani kwake. Mjuba akienda na wale wateja hawaji kabisapole sana mkuu tunapo feli kuwafungulia biashara alafu unamwambia hii ni biashara yako hapo tuna chemkaga sana mwanangu bado tuna kuitaji achana nae tembea katafute maisha hawa viumbe saizi wengi sana wala isikusumbue na umejenga nyumba ya watoto wako songa mbele usikubari mke akutawale kiasi ama vunja biashara yake uza yeye arudi nyumbani awe mama wa nyumbani wewe ndo umpelekeage ya mboga
Hongera kwa kuvuka kiunzi nami naamini nitavuka.Mkuu hi ilishanitokea,nilichofanya nikakopaa mtaji kwa baadhi ya watu wangu wakaribu.....kimya kimya nikafungua kibiashara,akawa anaona natoka asubui na Rudi usiku,nikaaza kulipaa bills zote,hapo hatushemedhani ikaenda nikasimama kuja kugundua na biashara akaaza kujirudi,nikaona hapa ndo penyeweeee nilikuwaaa nampelekeaaa motoo mzee baba,nikiwa juu ya kifua namkumbukaa yalee masimango naongezaaa kupeleka Moto mwisho wa siku Hadi hela zakee akaanza kuletaaa kwangu