Ndoa yamkeka noumah! Yamnikuta.

TOTS SHALO

Senior Member
Sep 24, 2012
152
25
kuna mdada kila nikikutana nae napenda xana kumtania kuwa nampenda bas yeye aniambia kuwa utaniweza wewe Tots mie mashine kubwa sais ya kaka zako mzki wangu hauwez unaweza ukafia kitandani basi mie roho inaauma kweli leo kanipigia cm nakuniambia niende kwao fasita anipe utam nikajianda fasta fasta nikaenda kwao na dem nikamkuta akaniambia nenda sebleni hakuna mtu niko mwenyewe nakuja mtu mzma nikajiweka hadi kwa sebule ghafla nikashangaa anakuja shehe na wapambe wake
pamoja na wazaz wa yule bint nakuanza kuniambia kuwa leo wananifungisha ndoa yamkeka kwasababu nimempa mimba binti yao na muhusika nimimi nililia sana hadi nikazuga kuzmia wakanitoma njee nakuanza kunipepea ili nipate hewa nilipoona usawa umekaa sawa niliinuka nikakimbia mbio ambazo sijawahi kimbia hadi miguu yangu ikavimba.
 
ujinga hii teknolojia ya dna unazimia kwa mimba ya kubambikiwa wale wanaokubali ndoa ya mkeka ni mazuzu utafungishwaje ndoa bila upande wako kuwepo
 
JF raha tupu! kunavijimambo humu, siku yangu nimeenza vyema na kicheko.
 
Akili ya kuambiwa changanya na zako....
Mgaya wa TUCTA na JK pale Diamond Jubilee.
 
kuna mdada kila nikikutana nae napenda xana kumtania kuwa nampenda bas yeye aniambia kuwa utaniweza wewe Tots mie mashine kubwa sais ya kaka zako mzki wangu hauwez unaweza ukafia kitandani basi mie roho inaauma kweli leo kanipigia cm nakuniambia niende kwao fasita anipe utam nikajianda fasta fasta nikaenda kwao na dem nikamkuta akaniambia nenda sebleni hakuna mtu niko mwenyewe nakuja mtu mzma nikajiweka hadi kwa sebule ghafla nikashangaa anakuja shehe na wapambe wake
pamoja na wazaz wa yule bint nakuanza kuniambia kuwa leo wananifungisha ndoa yamkeka kwasababu nimempa mimba binti yao na muhusika nimimi nililia sana hadi nikazuga kuzmia wakanitoma njee nakuanza kunipepea ili nipate hewa nilipoona usawa umekaa sawa niliinuka nikakimbia mbio ambazo sijawahi kimbia hadi miguu yangu ikavimba.

duu umenichekesha sana mkuu unakimbia majukumu na kiranga komo shuruti kijasho kikutoke mpenda dezo mkubwa wewe hata hela ya stige huna..
 
Kuna mambo mengi ya kuweka mezani watu wakusaidie au uwasaidie. Kufikiria kuandika 'UPUUZi' ni 'UPUUZI SQUARED'.
 
Hadithi,hadithi,......Hadithi njoo,UONGO NJOO,utamu kolea,Hapo zamani za kale...............................................,..,,............,,.........!!!! Hadithi hii inatufundisha nini?
 
Kwamba tule na kulipa.
 
Mwakani tutakupeleka Olympics utuwakilishe kwenye mbio fupi...kila kabla ya mbio kuanza tutakuwa tunakukumbusha hicho kisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom