Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,950
- 8,919
ndo hivyo tatizo wanawake mkuu wanaacha mtu sahihi anayempenda kwa dgati wanaenda kwa jitu lenye tabia mbaya linamzarisha halafu anamtelekeza na mtotoumeegemea upande mmoja hamna wanaume wenye tabia mbaya siku hizi ni wanawake tu? ukitaka kujenga usipendelee my dear watu wote wamebadilika tizama masister duu, makaka duuu hawalei familia n.k
ndo maana sa hivi masingo mama wamejaa tele mpk kero
na hakishakuwa singomama kwa kubadiri GIA angani hawajambo
yaan ghafra bin vuu
anakwambia sitaki kuolewa kwa sasa eti subirisubiri kwanza ushapoteza nae muda pesa nk sasa mwanamke kama huyu mwisho husngukia kwa mwanaume sio sahihi anampachika tena mimba yaab hutakuta mwanamke ana watoto wawiri au mmoja kila mtu na babaake na wote ni watoto wa zinaa sasa hakuna hata wa ndoa