ndoa yadumu siku mbili tu!!!!!!!!!!!

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye honeymoon,binti aacha ujumbe atoweka,majirani hawajajua tatizo ni nini,kila mtu anakuja na la kwake?
lakini inakuwaje ukubali kufunga ndoa na unajua hauwezi kudumu nayo au tatizo gani kubwa ambalo haliwezi kusameheka wakati wa fungate mpaka kuamua kuvunja ndoa?

yanayoongelewa:
-labda mwanaume sio riziki
-labda mwanamke amekimbia shughuli ilivyokuwa kuwa pevu usiku ule,labda alikuwa bikira
-huenda binti alikuwa na mtu mwingine

why this happens?watu wamelia sana
 
Ndo mambo ya ndoa hayo,inaonekana jamaa alikua anapiga msumari unaingia mpaka alipoishia fundi,halafu msumari wenyewe inch 6!!
 
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye honeymoon,binti aacha ujumbe atoweka,majirani hawajajua tatizo ni nini,kila mtu anakuja na la kwake?
lakini inakuwaje ukubali kufunga ndoa na unajua hauwezi kudumu nayo au tatizo gani kubwa ambalo haliwezi kusameheka wakati wa fungate mpaka kuamua kuvunja ndoa?

yanayoongelewa:
-labda mwanaume sio riziki
-labda mwanamke amekimbia shughuli ilivyokuwa kuwa pevu usiku ule,labda alikuwa bikira
-huenda binti alikuwa na mtu mwingine

why this happens?watu wamelia sana
Sijaona mahali panapoweza kunishawishi kuwa ndoa imevunjika. Acha ulimbukeni
 
tofautisha kati ya ndoa na ndoano,kuoa na kuishi na mwanamke,kuolewa na kuishi na mwanaume..
 
wanawake wengne wanakaa kwa waume wao kwa mateso sana. huenda dada kakuta kaka ana saizi siyo sawa. mimi nimewahi kusmuliwa na wenawake wawili juu ya wanaume ambao ni zaidi ya kawaida. na balaa zaidi wegine wanataka kukaanga vitumbua bila mafuta. hawana huruma kwa ile kitu. mzuka uksha panda wala hakumbuki kuangalia kama mafuta yapo au la., kidume kinadumbukiza chuma kwa ujasiri. mwenzie akilia yeye anaona ndiyo kafanikiwa.

hivyo huenda huyo alishazoea fimbo sasa kakuta gogo kaogopa mateso... ukimwona huyo dada muulize kama hatakupa kisa kama hiki.. kubembeleza ni zaidi ya kula mzigo . hata kama demu hakufagilii kwa bakora ila kama unatumia masaa kubembeleza mchezo,, basi ujue hiyo ni dawa ya kudumisha ndoa...
 
Inaweza kuwa kakuta jongoo halipandi mtungi. Unanchekesha.
 
watu wanalilia nini sasa, michango yao?
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye honeymoon,binti aacha ujumbe atoweka,majirani hawajajua tatizo ni nini,kila mtu anakuja na la kwake?
lakini inakuwaje ukubali kufunga ndoa na unajua hauwezi kudumu nayo au tatizo gani kubwa ambalo haliwezi kusameheka wakati wa fungate mpaka kuamua kuvunja ndoa?

yanayoongelewa:
-labda mwanaume sio riziki
-labda mwanamke amekimbia shughuli ilivyokuwa kuwa pevu usiku ule,labda alikuwa bikira
-huenda binti alikuwa na mtu mwingine

why this happens?watu wamelia sana
 
ushawahi kumuona mwanamke ambaye ligwaride limemshinda anavyotoka nduki guest? huwa hawajali kama anakimbia bila nguo au amevaa, la msingi ni kuepukana na dhahma iliyoko mbele yake. utakuta mdada mzuri lakini ana kimbia 'haki' yake, ajabu sana, fahari ya mwanamke uvumilivu mpaka dk ya mwisho bwana!
 
labda kaliwa tigo

ndo maana huwa tuna test kwanza

usijeuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Kuna mahali umesema binti aacha ujumbe atoweka, wewe mleta mada fanya mpango upate huo ujumbe tujue na si kuendelea kubuni tu.
 
ingine imetokea mwanza Jmosi jtatu ndoa ikavunjika na wameishi unyumba muda mrefu.
 
kwa kuwa jamaa anamjua au anawajua ndugu au mmoja wa wahusika, tunaomba atupatie data, je jamaa ana usemi gani
 
Mwambie mmoja wao awahi ubalozi wa usa ama uk..wengi wanakimbilia ndoa wakhisi ndoa itawasaidia kupata v....a
sijasema mie
 
Back
Top Bottom