Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 840
Hivi kwanini isiruhusiwe tu na serikali ya TZ, namaanisha watoe na vyeti kadhaa vya ndoa sio moja tu, tatizo hasa liko wapi?. Waislamu kila siku wanajipendelea.
Wakistro tunajibana na mke mmoja wakati michepuko tunaendekeza, huku watu mfano Mfalme Sulemani alikuwa ameoa wanawake zaidi ya 700 kama sio 1000. Watu kama Mfalme Mswati III hawamfikii hata robo Mfalme Sulemani.
Wanaume are 'polygamous' by nature hiyo hata science inathibitisha. Historia inaonyesha wanaume walikuwa wanaoa wake wengi na wanawake wala hawakuwa na tatizo na wengi wao wala hawana tatizo na hilo.