unamtetea mpagani kwa aliye mkristo kamili anaelewa ndoa ya bomani haitambuliki na hata kukomnika bado utakuwq mzinzi. watoto hawata batizwa kwasababu hamtambuliki kikanisa.daaaah, wadau nimejaribu kufuatilia majadiliano kimsingi naeza nikasema yote hivi, ila nazidi kupata kigugumizi hasa kwa aliyeleta mada hii kwamba kuna wanaomsapoti na pia kuna wanamhepa wakisisitiza ndoa ya kanisani, ila mimi kwa maoni yangu ni kwamba, hili jambo ni la watu wawili yaani wanaotaka kuingia ktk maisha ya mume na mke, na sasa kwa kuwa ni la watu wawili yan kama kilingana na maridhiano yao wawili ni kufunga cjui ya kidini wafunge tuu, kama ni ya kiserikali au kimila its ok wafunge tuu ilimradi wote wawili wameridhia huku Mungu wakimtanguliza mbele kwani Mungu sisi sote ni watoto wa kwake yeye na habagui na hata hivo mkisharidhia na kufunga ndoa na kuwa mke na mume, anayependa na asiyependa wote watabadilika na kuwa kitu kimoja yaan wanie mamoja iwe ni wazazi au ndugu wengine mana hakuna jinc tena kwan walioana cjui kidn , kiserikali au kimila wote wana ndoa tena halali na wao kama wao gurudumu la maisha liko mikononi mwao na si vinginevyo. niwapongeze wote kwa mjadala mzuri na wenye hekima na busara ndani yake na nimpongeze pia mwenye kuleta mada nimejifunza mengi. pamoja sana.
Nimekuja mkuu, au una lengo la mimi kuchangia huu uzi?
Ndio mkuu.Neno lako linahitajika hapa hasa kwa msimamo wa sisi RC kwenye suala hili.Nimekuja mkuu, au una lengo la mimi kuchangia huu uzi?
Haina shida mnaenda kwa mwanasheria mnaapa na kuandikishiana mnapewa cheti chenu ndugu yangu anamuda miaka 40 ya ndoa hana shida kabisaa wanawatoto ma wajukuu sasa nawamefanikiwa sana katika life lao ila kwangu napenda sana ya kanisani couze huwezi achana .Habari !
Mie ni mkristo, ninataka kufunga ndoa. Ila taratibu za ufungaji wa ndoa zetu ni ndefu. Naomba kuelimishwa ama kujuzwa uhalali wa ndo za kiserikali kuhusiana na imani ya ki kristo.
Namaanisha, unapokua umefunga ndoa kanisani, unakua hauzini ila inakua halali kwako kukutana na mkeo au mumeo.
Nikifunga serikalini, kwasababu sio ya kidini nitakua nazini ama nayo inapokelewa na Mungu na kua halali kama hiyo ya kanisani?
Jioni njema.
Siku hizi unajitahidi kuandika vizuriHaina shida mnaenda kwa mwanasheria mnaapa na kuandikishiana mnapewa cheti chenu ndugu yangu anamuda miaka 40 ya ndoa hana shida kabisaa wanawatoto ma wajukuu sasa nawamefanikiwa sana katika life lao ila kwangu napenda sana ya kanisani couze huwezi achana .
Ila ya serikalini ni rahisi kutengua muda wowote ndoa at anytime someone wowote.
Acha uchokozi bhnaSiku hizi unajitahidi kuandika vizuri