ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,840
- 25,027
wanawake sio wakuamini sana hata hawa watoto tunaolea unaweza kukuta umepigwa changa la moto
Daah haya mambo ni kumuachia mungu tu
wanawake sio wakuamini sana hata hawa watoto tunaolea unaweza kukuta umepigwa changa la moto
huyo mwanamke alikuwa hana msimano afu ina maana walikuwa hawatembeleani?
I believe in MORDEN MARRIAGE soma quote yangu ya juu nimeziedit!Lakini inaonekana you don't believe on it
Hahaaaaaa! Sijakata tamaa my dear! EXCEPT IF I MARRY ITAKUWA ALL CARDS ON THE TABLE! Fanya ufanyayo na mimi nafanya nifanyayo! Ila sio kufanyana wajinga! Mimi nikienda kwa mtu 2 minutes body language yake na mumewe najua kila kitu even the part ambazo haniambii!
Sema since wanawake wngi kuliko akubali bitter truth kuwa the bed of roses aint true anaridhika zaidi akiishi kwenye world of lies! Fine! Nakuwa sisemi BUT I KNOW!
Plus kwetu sisi CORPORATE CHICS ESP MARKETING SUPPLY IS ALWAYS CONSTANT! Ofisi zote nazo present kwenye umino, na my accuired class and sophosication, not to mention my seduction skills ikipita wiki sina new entrant ntanda kanisani kuomba! Hahaaaa! Tofauti na wenzetu wa Stores wanashinda na mabox, Wahasibu wanashind na cheque book na invoice, mwalimu anashinda na wanafunzi LAZIMA UKIMWAMBIA NJOO NIKUOE ASEM HALLELUJAH! Ila mie nawaza NOT YET bado kampuni flani, na flani wanalipwa zaidi yenu wale uongo! Hahaaaaaaa! Natania tu msinitoe maini!
Nishawahi soma hapa jf hasara za kuwa na mahusiano au mapenzi na ndoa za mbali.
NIMESHUHUDIA-jamaa yangu alipata mchumba ambaye walikuwa wanasoma naye chuo fulani huko morogoro, mara baada ya kumaliza chuo wakaamua kupitisha kadi za michango(mimi nimiongoni mwa waliopata kadi) kisha ndoa na sherehe ya kawaida vikafanyika. Sasa baada ya miezi 6 ya ndoa wote wakapata kazi, jamaa nachingwea mtwara na mke karagwe kagera.
KILICHOTOKEA-baada ya mke kujifungua akiwa huko karagwe mawasiliano ya simu kati yake na mume wake yalikatika, baada ya miaka mitatu mwanamke kaja kwao kusalimia huku akiwa mjamzito na kuwaeleza wazazi wake kuwa ameshapata mume mwingine na yuko mbioni kufunga naye ndoa.
Jamaa mwenye mke na ambaye anandoa na mtoto mmoja na huyo dada haamini kilichotokea. Na inasadikiwa mwanamke hataki kabsa kusikia habari zozote kuhusu mumewe huyo wa ndoa...
Ama kweli mahusiano ya mbali ni hatari tupu wana MMU
Wakati mwanamke anaanza kazi alikuwa na ujauzito wa jamaa(mumewe). Na walikuwa wanawasiliana vizuri ila baada ya mwanamke kujifungua akawa hapatikani hewani(kama alibadilisha line hivi) kisha hali hiyo ilidumu miaka mitatu hadi mwanamke alivyokuja kwao akiwa mjamzito na pia akiwa anasistiza kuwa anaye mwingine anayetaqajia kufunga naye ndoa karibuni
sipendi mahusiano ya mbali yaani hata ya nyumba ya mbili tu sipendi nataka wote under 1 roof
Wakati mwanamke anaanza kazi alikuwa na ujauzito wa jamaa(mumewe). Na walikuwa wanawasiliana vizuri ila baada ya mwanamke kujifungua akawa hapatikani hewani(kama alibadilisha line hivi) kisha hali hiyo ilidumu miaka mitatu hadi mwanamke alivyokuja kwao akiwa mjamzito na pia akiwa anasistiza kuwa anaye mwingine anayetaqajia kufunga naye ndoa karibuni
Marriage is always a hypocritical institution! Sio za mbali tu hata za karibu! Ni kama sleeping with the enemy challange! Ndo maana tumefikia stage mume wa mtu havui pete wala nini. Anakupa tu live I AM MARRIED AND AVAILABLE! Kama vigezo na masharti unaviweza. WELCOME TO THE ADULTRY WORLD:A S wink: .
Kutokana na big expenditure ya mke, michepuko, wapambe wanakuwa wahujumu uchumi, wafujaji wa mali za uma, wachakachuaji, kila aina ya dhahama mradi tu wapate hela ya kustarehe tuu! WELCOME TO THE WHITE COLLAR CRIMES WORLD:A S wink:
Mume huyo huyo ambao si wengi ni mabosi zetu, ndugu zetu, wazazi wetu, jirani zetu tunao kwenye jamii na tunajua kabisaa he is sleeping with anything in a skirt, and he is nothing close to a good husband nor a good father, usimkute MKEWE anatoa USHUHUDA KANISANI SASA! Bwana asifiwe sanaaaaa! Amen! Kina mama wnzangu namshukuru sanaa Mungu kwa kunipa mume bora kabisaaa! Mume muaminifu kweny ndoa mpaka namuogopa mda mwengine! Hajawahi kuniudhi toka tuoane, watoto aka wanampanda kichwani inabidi niingile. Mungu anaweza jamani! Ameeeeeeeeen! Wadada ambao hamjaolewamuombeni sanaaa Mungu, hakika mtapata wazuri zaidi ya huyu wangu! Blah! Blah! Blah! Grandmaa spare us the sentiments but we couldnt agree more, he is very CHARITABLE, he doesnt count tips!:A S wink: WELCOME TO THE GAME OF LIES WORLD!
Wakati mwanamke anaanza kazi alikuwa na ujauzito wa jamaa(mumewe). Na walikuwa wanawasiliana vizuri ila baada ya mwanamke kujifungua akawa hapatikani hewani(kama alibadilisha line hivi) kisha hali hiyo ilidumu miaka mitatu hadi mwanamke alivyokuja kwao akiwa mjamzito na pia akiwa anasistiza kuwa anaye mwingine anayetaqajia kufunga naye ndoa karibuni
Aim ni nini hapa