Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Nishawahi soma hapa jf hasara za kuwa na mahusiano au mapenzi na ndoa za mbali.
NIMESHUHUDIA-jamaa yangu alipata mchumba ambaye walikuwa wanasoma naye chuo fulani huko morogoro, mara baada ya kumaliza chuo wakaamua kupitisha kadi za michango(mimi nimiongoni mwa waliopata kadi) kisha ndoa na sherehe ya kawaida vikafanyika. Sasa baada ya miezi 6 ya ndoa wote wakapata kazi, jamaa nachingwea mtwara na mke karagwe kagera.
KILICHOTOKEA-baada ya mke kujifungua akiwa huko karagwe mawasiliano ya simu kati yake na mume wake yalikatika, baada ya miaka mitatu mwanamke kaja kwao kusalimia huku akiwa mjamzito na kuwaeleza wazazi wake kuwa ameshapata mume mwingine na yuko mbioni kufunga naye ndoa.
Jamaa mwenye mke na ambaye anandoa na mtoto mmoja na huyo dada haamini kilichotokea. Na inasadikiwa mwanamke hataki kabsa kusikia habari zozote kuhusu mumewe huyo wa ndoa...
Ama kweli mahusiano ya mbali ni hatari tupu wana MMU