Mimi sioni tatizo,kikubwa ni kupendana na kuheshimiana!Elimu ni muhimu lakini haiwezi kuzuia wapendanao washindwe kuishi pamoja!mwanamke atakuwa anatoa theories alizosoma darasani ili mwanaume ajifunze kutoka kwake.On the other hand mwanaume atakuwa anampa mke wake real life context principles,mwisho wa siku kila mtu atakuwa ana cha kujifunza kutoka kwa mwezake na ndoa inaweza kudumu!
Msingi mkubwa wa ndoa ni upendo; ambao ndani yake kuna kuheshimiana, kuaminiana, kusaidiana nk. Hii inakuwa rahisi zaidi iwapo wahusika wanalingana au wanaendana kwa mambo mengi ya msingi kutokana na mila na desturi zao, kwa mfano umri, mila na desturi, kipato, elimu, dini, nk. Katika mila za kiaafrika inapotokea mwanamke (mke) amemzidi sana mwanamme(mume) kielimu, kimapato nk. Heshima ya mwanamke kwa mwanamme itapungua sana na ndoa hii ni rahisi kuvunjika. Mwanamke akiwa na kipato cha kutosha au elimu ya kumzidi mumewe basi anakuwa na NYODO nyingi. Mifano iko mingi tu. Ni afadhali mwanamme ajaliwe vitu hivyo. Siyo rahisi kwa mwanamme kuwa na NYODO kwa mkewe iwapo atakuwa na elimu au kipato cha kutosha dhidi ya mkewe. Wanaume wana HURUMA sana. Ndoa ambayo mwanamme amemzidi mkewe kipato au elimu, itadumu zaidi kuliko kinyume chake.(sitaki matusi)Habari zenu wakuu. Naombeni mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa kuamua.
Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD. Amekutana na mwanaume, mfanya biashara wa kawaida tu, elimu std 7, anaemzidi kama miaka mitatu. Wanapendana na mwanaume amepropose anataka wafunge ndoa haraka iwezekanavyo. kinachomtatiza ndugu yangu ni kwamba anawasiwasi kuwa understanding capacity yao inaweza kuja kuwaletea shida huko baadae as wanaume wakioa wanawake wa aina hii kunakuwaga na inferiority complex fulani na mara nyingi hawachukulii vitu vingi kwa namna sawa. Kuna ambae ana uzoefu na jambo hili na wenye mawazo naomba tumsaidie ndugu yetu. natanguliza shukran
The vice verser is TRUE
How did you sort this? What happened? Je walioana?
Hapo ni sawa na kuagiza bangi kwa eBay.
HAKUNA NDOA HAPO.
Mimi sioni tatizo,kikubwa ni kupendana na kuheshimiana!Elimu ni muhimu lakini haiwezi kuzuia wapendanao washindwe kuishi pamoja!mwanamke atakuwa anatoa theories alizosoma darasani ili mwanaume ajifunze kutoka kwake.On the other hand mwanaume atakuwa anampa mke wake real life context principles,mwisho wa siku kila mtu atakuwa ana cha kujifunza kutoka kwa mwezake na ndoa inaweza kudumu!
Msingi mkubwa wa ndoa ni upendo; ambao ndani yake kuna kuheshimiana, kuaminiana, kusaidiana nk. Hii inakuwa rahisi zaidi iwapo wahusika wanalingana au wanaendana kwa mambo mengi ya msingi kutokana na mila na desturi zao, kwa mfano umri, mila na desturi, kipato, elimu, dini, nk. Katika mila za kiaafrika inapotokea mwanamke (mke) amemzidi sana mwanamme(mume) kielimu, kimapato nk. Heshima ya mwanamke kwa mwanamme itapungua sana na ndoa hii ni rahisi kuvunjika. Mwanamke akiwa na kipato cha kutosha au elimu ya kumzidi mumewe basi anakuwa na NYODO nyingi. Mifano iko mingi tu. Ni afadhali mwanamme ajaliwe vitu hivyo. Siyo rahisi kwa mwanamme kuwa na NYODO kwa mkewe iwapo atakuwa na elimu au kipato cha kutosha dhidi ya mkewe. Wanaume wana HURUMA sana. Ndoa ambayo mwanamme amemzidi mkewe kipato au elimu, itadumu zaidi kuliko kinyume chake.(sitaki matusi)
miaka 32 ana PHD?sina uhakika,anybade to help!