Kama demu ana sura mbaya na katumika tumika sana itasaidia kuleta some sort of balance kwani kwa vyovyote vile na yeye atakuwa amepigika katika kutafuta husband so she wont let him go
Kwa upande wangu naona watawezana maana huyo dada yako ni mzungu na huyo jamaa ni mwafrika tena Mtanzania.Nasema hivo kwa kuwa kwa Tanzania yetu na mlolongo wa elimu yetu hakuna tena nasema hakuna kabisa mtu anaeweza kupata Phd akiwa na miaka 32, I stand to be corrected forever
Ha ha ha PHD and STD 7!!! Labda kama huyo mwanaume ana hela ya nguvu!!! Ili mapenzi yatulizwe na pochi!!! Kwa kweli ni pagumu sana!!!! Japo pia wapo wanawake wachache ambao elimu yao haiwasumbui sana hata na hela pia!! Wengi wao akisoma tu na kamshahara kazuri ni hatari!! Kuna mmoja namfahamu mumuwe alimpa mimba akiwa kati ya form 4 or six na alipojifungua aliendelea na shule na mume pia akasoma japo kwa elimu ya kawaida. Imagine baada ya ile mimba mume yule aliamua kumsomesha mkewe first degree, second degree ili akimaliza na yeye aweze kujiendeleza kielimu maana wasingeweza kusoma wote kwa mshahara na familia (wana watoto wawili sasa). You know what!!!! Mke sasa ameajiriwa na post nzuri, safari za nje kwa sana na sasa anamalizia masters!!!! Ameamua kumwacha mume na kumwachia pia wale watoto!!!! Ameenda kupanga chumba!!!! Hao ndio wanawake!!! Jamani siku hizi bora upende, mguu moja nje mwingine ndani!!! You invest a lot but you reap pain!!!!
Kulaleki hapa umecomment pamoja na mimi aise ungechelewa ningeshakuwahi.KAMA MWANAMAMA ANA USO KAMA UKOKO WA MAKANDE PHD YAKE LAMIMA ATAIWEKA PEMBENI.YAANI INAKUWA SARE SARE SIKU HUYU AKIROPOKA NIMEOANA NA WEWE KWA KUKUONEA HURUMA NA HAKO KA ELIMU KAKO KA LA 7 MWANAUME NAE ANAWEZA PAZA SAUTI MI MWENYEWE NIMEKUOA KWA KUKUONEA HURUMA HILO SURA LAKO KAMA JENERETA.SO ili amani iwepo lazima kila mtu ajione hana sababu ya kujiona yupo juu ya mwenzio na hapo hapo penzi la ukweli litafanyizwa kwenye mioyo yao.
Kiinglish muhimu.. Unaweza onekana bonge la msomi kama ung'eng'e unakubali. Nina uhakika huyo kaka kama ana 35 kwa sasa itakuwa ngumu kuhimili mikiki ya shule lakn english course ni rahis na inaweza mpandisha chati.
Pia muangalie chances za kuolewa za huyo mdada ni slim ( Level of education na age).. suala la elimu ni part ndogo na linarekebishika given others factors are okay..anaweza muacha huyo badae akamtamani hata mvuta bange na huyu wa sasa afadhali..
kuwa na PhD manake ni ku-toa mchango wako ktk eneo fulani la taaluma. kuwa na pHD siyo kujua kila jambo. nina pHD ya kutoa ushauri, manake ni kuwa nimechangia maarifa yangu ktk eneo la kutoa ushauri- hii hainifanyi mimi niwe mlinzi bora, mchumi bora, mwalimu bora . wala hainifanyi niwe mume ninaefahamu na mwenye kukubalika kuliko wanaume wote wasio na pHD...
ushauri wangu ni kuwa ...
2.ikiwa Dada yako phD yake haihusiani na mambo ya ndoa , au biashara au aina ya biashara anayofanya huyo shemeji yako mtarajiwa hakuna tatizo kwani hakuna patakapo tokea mgongano wa kielimu ktk maisha yao ya ndoa- kama ikitokea ni mgongano wa kawaida ambao chanzo siyo tofauti ya elimu
1.Dada yako anaonekana kuwa na mawazo ya kuwa yeye ni mwenye kufahamu zaidi kuliko wale walio elimu darasa la saba- nimeshindwa kutumia msamiati hapa huenda ungeliona ninamtukana. mshauri afute hilo akilini mwake kwani litamsumbua si tu kwa huyo bwana bali pia akiwa ktk mawasiliano na wote wasio na phd.
hayo namba 2 na 1 ni kwaajili ya dada yako ... na hili hapa chini ni kwaajili yako wewe
Ninawasiwasi kuwa hii wasiwasi ya elimu ya huyo shemiji yetu mtarajiwa unayo wewe na si dada yako ndo aliyeonyesha hiyo wasiwasi. ikiwa wasiwasi ni yako wewe, basi jaribu kuongea nae wewe mwenyewe na akutoe huo wasiwasi wako
Kwanza niseme kuwa ni wazi haya mambo hayafuati kanuni.
Ila pia kuna kitu kinaitwa 'male ego'.
Uwezekano wa mwanaume huyo kujiona duni mbele ya mkewe ni mkubwa sana.
Sasa mwanaume akiwa na hisia za kujiona kwamba yeye ni duni mbele ya mwanamke wake kwa sababu hawalingani kielimu, hiyo si dalili njema ya kuwa na ndoa ama mahusiano yenye mafanikio.
Kitu ambacho labda kinaweza ku-offset hiyo disparity ni mkwanja mrefu.
Sasa wanaume wangapi wenye elimu ya darasa la saba ambao wanaweza kuwa na mkwanja mrefu kushinda mwanamke mwenye PhD.?
Labda Bakhresa tu:becky:
Mmmh PHD..STD 7!!!
Siku mapenzi yakipungua mwanaume atajutaa huko ndani, labda aombe apendwe daima na milele na mwanamke awe na busara za kutosha!!!!
Pamoja sana, halafu huyu STD 7mbona kama mchaga vile? Aisee mangi nipo kibiashara zaii zaiiidii kweliKulaleki hapa umecomment pamoja na mimi aise ungechelewa ningeshakuwahi.KAMA MWANAMAMA ANA USO KAMA UKOKO WA MAKANDE PHD YAKE LAMIMA ATAIWEKA PEMBENI.YAANI INAKUWA SARE SARE SIKU HUYU AKIROPOKA NIMEOANA NA WEWE KWA KUKUONEA HURUMA NA HAKO KA ELIMU KAKO KA LA 7 MWANAUME NAE ANAWEZA PAZA SAUTI MI MWENYEWE NIMEKUOA KWA KUKUONEA HURUMA HILO SURA LAKO KAMA JENERETA.SO ili amani iwepo lazima kila mtu ajione hana sababu ya kujiona yupo juu ya mwenzio na hapo hapo penzi la ukweli litafanyizwa kwenye mioyo yao.
miaka 32 ana PHD?sina uhakika,anybade to help![/QUOT
Inawezekana kabisaaa..!
Wapo, wakinga kule Makete wana milioni 300 hadi 500 bank, wnashindana tu nani ana hela!