Ndoa ya lazima

Ndoa ya lazima

Japo cjui wewe imani yako inaruhusu kuoa wake wangapi,lakini kwa imani ya kikristo ni dhambi kuoa zaidi ya mke mmoja na Yesu alisema sikuja kuleta amani,bali uadui kati ya ndugu na ndugu,mtoto na wazazi,n.k.Kwa maana kwamba usitafute kuwafurahisha ndugu zako kuliko Mungu wako na usimheshimu mwanadamu yeyote kuliko Mungu wako.
Imani yangu inaruhusu kuoa wanne but mimi sipendi hilo
 
Uliyataka mwenyewe kwa nn umpeleke kwenu huku ukijua una mke haya as cheza nayo
 
kabila lenu lina mambo ya kijinga
Mimi sijui mambo yyt yahusuyo kabila wala mila maana nimezaliwa town nimekulia town na hadi sasa nipo town home napasikia tu katika story
 
baba yangu akinilazimisha kuoa nitamwelewesha kwa busara akizidi kung'ang'ania nitamvunjia heshima.na lazima tuwe maadui kweli kweli
 
baba yangu akinilazimisha kuoa nitamwelewesha kwa busara akizidi kung'ang'ania nitamvunjia heshima.na lazima tuwe maadui kweli kweli
But radhi zake pia ni za muhimu
 
Uliyataka mwenyewe;
ni nani asiyependa pesa, wazazi wako wameshalainika.
Mnataka mkemfanye mswahili mwenzetu house girl wa mwarabu;
sawa, uamuzi ni wako bhana.
 
Kama dhehebu lako linaruhusu nakushauri umuoe nae kwa sababu ulishamtambulisha hata kwa familia yako
 
WanaJF,

Nimetulia na kuamua kuleta kwenu uzi huu ili mnisaidie ushauri!Miaka ya 2002 nilikuwa na uhusiano na binti mmoja ila bahati mbaya tulipoteana kipindi kirefu sana takribanii miaka 10.

Mwaka 2012 nikapata mchumba nikaamua kuoa na tumejaliwa kupata mtoto, sasa ghafla mwaka huo baada ya kuoa tu yule tuliepoteana akaibuka, kwa kuwa sikuwa nimeachana nae kwa shari tulianza mawasiliano ya kawaida pia nikidhani alishaolewa.

Siku nilipokutana nae nikampeleka nyumbani kwetu kumuonyesha tu kwa ndugu kwasababu walikuwa wanajua kuhusu kupoteana kwetu.Sasa baada ya kuonana na dada yangu wamekuwa marafiki kiasi cha uhusiano wake na mke niliye nae umekuwa mbaya sana.

Na mbaya zaidi amemshawishi mpaka mzazi wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mpaka imefikia hatua baba yangu tuliyependana sana sasa ananichukia mpaka anasema 'nikiondoka duniani hujamuoa huyu binti siko radhi nawe 'hili linanivuruga akili yangu.

Imefika hatua hata mke wangu hatakiwi na ndugu zangu ila mimi tu ndiye najua umuhimu wake! Naombeni msaada ili nipate uhusiano mzuri na mzazi bila kuathiri ndoa yangu. Kisa ni kuwa mke niliye nae ni masikini na huyo Mwarabu ni mtu mwenye maisha flani hivi.

Mpaka sasa naandika nimefikiria sana mpaka brain imestack

Msaada please nini nifanye na amani iwepo pande zote?

With regard
 
Uliyataka mwenyewe;
ni nani asiyependa pesa, wazazi wako wameshalainika.
Mnataka mkemfanye mswahili mwenzetu house girl wa mwarabu;
sawa, uamuzi ni wako bhana.
Nahisi hukunielewa vzr,nilimpeleka kwa sister coz they know about him but not for marriage!it was jast a friend kwa kuwa hakukuwa na reason behind.
Sasa dada yng kafika mahala kalizua hilo ofcoz!mbaya zaidi mzee wng amekuwa in touch zaidi
 
piga ndoa ya pili stress za nini wakati dini inaruhusu na huyo mwanamke yupo vizuri kiuchumi
 
Wanampenda huyo x wako coz anaonekana ana cash km ulivyosema...familia nyingi hudanganywa na fedha wanajua mkeo hana uwezo wa kuwapa mshiko but x wako anajimudu. LOVE DONT COST A THING.
 
Back
Top Bottom