Asante kama umeshiriki ndani ya mawazo yangu maana mh.
Ila hatari iliyopo ni kukosa radhi
ishatokea msaidie mawazo...si muda wa kulaumiana huu!ulitaka mwenyewe kumpeleka kwenu
Kama umezaliwa town hii ishu ndogo sana.. just be a decision makerMimi sijui mambo yyt yahusuyo kabila wala mila maana nimezaliwa town nimekulia town na hadi sasa nipo town home napasikia tu katika story
hakuna radhi hapoAsante kama umeshiriki ndani ya mawazo yangu maana mh.
Ila hatari iliyopo ni kukosa radhi
AsanteMakosa ndugu yangu ni yako mwenyewe. Wewe umeshaoa kitendo cha kumpeleka ex-girl friend wako kwendo ilikuwa kosa kubwa.
Cha msingi hapo ni kwamba utapata dhambi sana ukimuacha mke wako wa ndoa na ambaye hajakukosea wewe wala familia yako. Hiyo radhi anayokutishia baba yako ni dhambi kubwa kwake mwenyewe na wala mungu hayuko naye katika hili.
Chakufanya kwa sasa ni kuwa karibu sana na mkeo na pia ingawa ni ngumu lakini ikibidi jiweke mbali kidogo na familia yako. Huyo mpenzi wako wa zamani ni ibilisi mbaya sana hivyo kaa naye mbali iwezekanavyo.
Asantekosa la kwanza ulifanya kumpleka kwenu.. siyo muda wake sasahakuna radhi ya hivi hivi tu ..kama wewe hutaki ndoa nyingine embu acahana nayo hiyo.. mkeo wa kwanza ndiyo mke sahihi ... mkeo ni wako na si wa ndugu zako .... ishi maisha utakayo mueleze baba yako huwezi oa mke wa pili over