Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Fatma,

How many players do Simba and Barcelona have? Then I can comment!.
I don't know. Ila ukijumlisha na goalkeeper I hope one team inakuwa na 11 right?. This is why nasikia wanasema first eleven. Then talk of 22.
 
Niliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.

Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa, inawezekana usiweze kujitetea sana lakini bidii yako kamwe haitokuacha. Mwezi mmoja na wiki mbili baadae nilipigiwa simu nirudi kazini. Nikalimwa barua ya onyo. Ukweli ni kuwa, mambo mengi yalikuwa hayaendi.

Nyumbani niliacha mke na wazee, lakini sasa ratiba ikabadilika. Kila Ijumaa jioni naenda nyumbani then Jumatatu alfajiri narudi kuwahi kazini.

Namshukuru sana Mungu, sasa ni baba (original) wa watoto watatu. Alhamdulillah, kazini pia mambo si haba na maisha ni murua sana.

Nilichojifunza ni kuwa, 'our parents always wish us the best'. And if the best is not their option, at least they won't lead you into the worst'.

Wasikilize na upime wanachokitaka. Kama kweli kina mantiki songa mbele.

Maisha ya ndoa yana raha sana. Sina stress yoyote kuhusu familia. Ukimpata mwanamke ambaye anakuheshimu nawe ukamheshimu. Kila mtu akasimama katika nafasi yake kama mume na mke. Hakuna kushindana.
Mwisho wa story jamaa akakuta tunda lililiwa zamani na wahuni
Maamae comment yangu ya juu nilisema binti hakuwa bikra na kweli umekuta ni used 😂😂😂 hawa wanawake hawa sio poa
 
I don't know. Ila ukijumlisha na goalkeeper I hope one team inakuwa na 11 right. This is why nasikia wanasema first eleven. Then talk of 22.
A team must have at least 23 players. But speaking of those who attend the match, then 11 with six substitutions.

Anyway, speaking on the numbers of women I had slept with before getting into marriage, then they can't make it to 10.

I'm sure!.
 
Maisha yakaendelea, angalau sasa sikai kwa upweke. Nipo na wenzangu lakini zaidi na familia yangu.

Kwa kuwa ni kipindi kirefu sijafika nyumbani, watu wengi pia siwafahamu. Watoto wengi wamezaliwa na wale wadogo wamekua.

Wengine wameoa na wana familia zao. Hivyo mizunguko ya hapa na pale kuwajulia hali na angalau kuwafahamu ilikuwa haiishi. Hali ile ilisaidia sana kuniondolea Stress.

Tangu nimefika, sijawahi kulala kwetu (kwa mama yangu). Nalala kwenye nyumba za wenzangu wa rika moja.

Nakutana na mke wangu, hawezi kuniangalia kwa aibu. Hata nikimsalimia sauti ni ya chini kabisa. Mimi pia hata ile hamu ya kumchukulia kama mke sikuwa nayo kabisa. Yaani kwangu ni kama mdogo wangu. Angalau kakua, ana miaka 19 sasa.

Mzee anakusanya tu taarifa ninapolala. Akajua sijawahi kulala nyumbani. Siyo kosa kutolala nyumbani, ila lazima ajue kama nimelala naye.

Asubuhi ya siku ya 6, akaniita. Akaniambia, miaka yote nimetembea binti kanisubiria. Ni ajabu sana nimefika nyumbani ila hata kulala na binti nimeshindwa. Watu wananishangaa na binti anafikiria vibaya. Hivyo nifanye namna nilale naye leo.

Tangu nimefika, binti analala pekee yake kwa mategemeo kuwa nitakuja kulala naye. Mimi nikifika, nachukua maji, naoga alafu naondoka. Nguo zangu anazifua siku zinasonga.

Mchana tena nikakutana na mama ambaye tunatiana tangu utotoni. Baada ya story nyingi, akanitania vipi ushaonja kimwana? Nikamuambia kitambo sana. Akaniambia au unaleta mambo ya Uswahili wenu? Akanitonya niichangamkie. Binti kavumilia sana.

Usiku ukawadia. Baada ya chakula cha jioni, tukazunguka zunguka na wenzangu. Muda wa kulala nikawaambia kuna mahali nitaenda kuangusha.

Nikafika nikajilaza zangu, binti alikuwa na mama bado. Nimefika tu usingizi ukanipitia. Baadae alikuja, wala sikumsikia.

Baadae kujigeuza geuza nikamshika mtu. Ndiyo akili ikasanuka kwamba leo nimelala na mwanamke. Nilikuwa muoga sana, mkono ni mzito sana kutaka kumgusa.

Baada ya kusubiri sana huku nikiwazua nimuingiaje, nikajaribu tena kumshika. Hakuwa amelala hata kidogo. Nilipomgusa anatetemeka balaa. Nikajua anaogopa.

Nikaondoa mkono kwa hofu kuwa hataki. Nimefikiria sana. Nikitaka kulala, usingizi hauji. Nikitaka kumuongelesha roho inasita kabisa.

Yeye ndiyo muoga zaidi. Hajigusi, hata pumzi kabana. Husikii hata akihema. Alikuwa akiniogopa sana.

Usingizi ukaenda mbali nami. Lakini bora yangu nilipata nafasi ya kulala kwa muda. Yeye hata tone hajalala, nikamuonea huruma.

Nikamwita Sindiyo (jina lake la ukweni), kwa sauti ya uoga na uchu akaitikia abee.
Nikamuuliza leo hulali? Akaniuliza mbona wewe hujalala?
Nikamueleza tu kuwa nawaza mambo ya kazini.

Hakuna aliyekua akijua kama nafanya kazi mkoani kwetu. Mpaka sasa hakuna ambaye anajua kuwa nimesimamishwa kwa sababu ya mapenzi na kupigana.

Akaniuliza, kwa nini nilikuwa simtaki? Hapo ndipo mazungumzo yetu yalipoanzia. Muda wote macho yapo darini, japokuwa ni giza hakuna aliyegeuza shingo kumuangalia mwingine. Alipokuwa akizungumza najidai kumchungulia lakini nikiwa na wasiwasi kuwa ananiona. Tuliongea sana na kujaribu kumuelewesha kwa kumdanganya kuwa haukuwa muda sahihi kwangu.

Akaniambia wala simpendi ndiyo maana hata sikutaka kukaa kuongea naye. Tangu nimekuja analala kwa kuvizia kuwa huenda nikaja muda wowote.

Nilijisikia mkosaji na ndiyo nikaelewa sababu ya yeye kutetemeka. Alikuwa akihitaji sana uwepo wangu.

Basi, akanieleza sasa tulale maana ameshanifahamu. Lakini walau hisia za kutaka kumkuna zimwshaanza. Nikamuuliza hakuna kingine? Kwa lugha ya kutaka nataka akasema hakuna. Nina hakika alisema hivyo huku akitabasamu.

Nikasogeza tena mkono anatetemeka sana bado. Nikamshtua, unaniogopa?? Hakujibu chochote. Ilikuwa muda wa saa tisa au kumi hivi.

Nikajitoa ufahamu nikamshika tena mkono nikaupandisha mpaka begani. Mtandao ukareact H. Sogeza kidogo kushukia kwenye mjongeo wa shingo. Nikateremka mpaka kwenye ziwa lake la mkono wa kulia, mnara ukanasa H+.
Hapo umesema wewe na mama mlikuwa mnafanyaje tangu utotoni?
 
Maamae comment yangu ya juu nilisema binti hakuwa bikra na kweli umekuta ni used 😂😂😂 hawa wanawake hawa sio poa
Ni kweli. Lakini kitu used chenye hali nzuri inafaa sana.

Kwani gari unalotumia Mku, si used? Au ni brand new? Mbona bado limekuheshimisha na unadunda nalo kwa muda mrefu tu?

Anyway, nani kakudanganya kuwa mwanamke bikra pekee ndiyo hujenga familia bora? Au kila mtu na perception yake?
 
A team must have at least 23 players. But speaking of those who attend the match, then 11 with six substitutions.

Anyway, speaking on the numbers of women I had slept with before getting into marriage, then they can't make it to 10.

I'm sure!.
Lo!. Well, I am happy that since when you got married you have never cheated on her and you look forward to shunning any kind of cheating.
 
Nilichojifunza ni kuwa, 'our parents always wish us the best'. And if the best is not their option, at least they won't lead you into the worst'.

Wasikilize na upime wanachokitaka. Kama kweli kina mantiki songa mbele.

Maisha ya ndoa yana raha sana. Sina stress yoyote kuhusu familia. Ukimpata mwanamke ambaye anakuheshimu nawe ukamheshimu. Kila mtu akasimama katika nafasi yake kama mume na mke. Hakuna kushindana.
Umemaliza vizur
 
Ni kweli. Lakini kitu used chenye hali nzuri inafaa sana.

Kwani gari unalotumia Mku, si used? Au ni brand new? Mbona bado limekuheshimisha na unadunda nalo kwa muda mrefu tu?

Anyway, nani kakudanganya kuwa mwanamke bikra pekee ndiyo hujenga familia bora? Au kila mtu na perception yake?
Yah mzee naelewa,
demu wangu ambaye bado niko nae nilimkuta n used kidogo, siku ya kwanza na-sex nae (sijui nilijuaje ila ndo ukweli) nilijua kabisa n used ila sikumuuliza chochote kuhusu ubikira wake sasa baada ya siku kadhaa tukiwa tunachat akanambia mimi ndie mwanaume wake wa pili ku-sex nae na alifanya sex mara moja yani ile kutolewa bikra tuu then ndipo nikakutana nae.
😂😂😂 Moyoni nilifurahi mana nlchowaza mara ya kwanza wakati na-sex nae kumbe ni kweli. Mungu akibariki soon naingia nae kwenye ndoa.

Bikra sio kigezo cha kwamba huyo binti sio sahihi.
 
Niliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.

Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa, inawezekana usiweze kujitetea sana lakini bidii yako kamwe haitokuacha. Mwezi mmoja na wiki mbili baadae nilipigiwa simu nirudi kazini. Nikalimwa barua ya onyo. Ukweli ni kuwa, mambo mengi yalikuwa hayaendi.

Nyumbani niliacha mke na wazee, lakini sasa ratiba ikabadilika. Kila Ijumaa jioni naenda nyumbani then Jumatatu alfajiri narudi kuwahi kazini.

Namshukuru sana Mungu, sasa ni baba (original) wa watoto watatu. Alhamdulillah, kazini pia mambo si haba na maisha ni murua sana.

Nilichojifunza ni kuwa, 'our parents always wish us the best'. And if the best is not their option, at least they won't lead you into the worst'.

Wasikilize na upime wanachokitaka. Kama kweli kina mantiki songa mbele.

Maisha ya ndoa yana raha sana. Sina stress yoyote kuhusu familia. Ukimpata mwanamke ambaye anakuheshimu nawe ukamheshimu. Kila mtu akasimama katika nafasi yake kama mume na mke. Hakuna kushindana.
Big up Sana mkuu.yes mke asipokupa stress brain Ina settle na kuwaza Mambo makubwa Sana. Binafsi nafurahi Sana mke hanipi stress so nikiwa nimetumia natulia Kama nipo beach ni upepo tu ndio unaonipigia kelele.
Muwezeshe tu anapiga kazi ya ujasirimali Mana sio lazima kuwa kipato kipatikane mpaka uwe ukae ofisini.
Usikute pia ni nyota ya wife wako ulifanya urudi job.

Binafsi nilipooa nilikuwa Sina mbele Wala nyuma.unafanya kazi miezi minne hujaiona salalry.
Ila Ile tu kuoa miezi Kama minne inapita napata job nasaini mktaba napata around $1.5k per month.
Nimeoa Sina kazi Ila naona Kama wife alikuja maisha yakanibadilikia.
Demu zangu wa chuo wakiona niliyofanya wanakuambia kumbe ulikuwa una akili,hawaakudhani hayo.
Mana Kuna mwingine ni lawyer unamuomba akutengenezee contract ya kitu fulani mpaka anashangaa.
Binafsi namshukuru Aliye juu ambaye anajua maisha yangu ni duniani yataisha lini.
 
Hongera sana mkuu. Kiukweli mababu walipokuwa wakichagua mama zetu waolewe na baba zetu waliangalia Mambo mengi Sana yaani Sana kuliko ambao sisi vijana hatuwezi ona.
Sie twaona umbile la nje,sura ,Mara elimu,ama kwao wako poa kumbe future ni uncertainty.

Binafsi jamii yangu ilinifanya niupende huo utamaduni Mana unakutana na watu Wana uzoefu kuliko wewe semaa kisa tu umepata kaelimu ka mzungu Tena unakariri afu unayatapika Kama yalivyo unakiona u Bora na una akili kuliko hao baba,mama,shangzazi,wajomba,Bibi,babu zako ambao wanakupenda ukiwa katika zero level yaani Ile umeanguka uko rock bottom ya sea mkuu.
Hapo wanabakia ni ndugu zako kiukweli,washkaji ni hai na pole wanasepa.
Ila hakuna anayeza kujitoa mfano ukaishi kwake ama achukue wanao awasomeshe ,ama akuuguze wewe Kama ndugu yake wa damu na asione maumivu ya kuwa unamharibia akaunti yake ya benki.

So namie baada ya kumaliza chuo nikarudi home.
Sema sie ni tofauti na nyie. Sie ukipata mdada ukampenda unakuja home unasema wanaanza kumchambua mpaka originality yake ambayo Kama umekutana na manka mjini huwezi jua Koo yake ikoje kikubwa Yale mabaya hakuelezii.
So unaelezewa yote kuhusu wao na Koo Yao so unapima mwenyewe.
Kama hafai pale utaona Ila Kama emotions zimekutawala utabeba haulazimishwi sema wao part Yao wamemaliza.

Pia na wao Kama wanamjua binti na Koo yake watakuambia kuwa akacheki mji Fulani Kijiji Fulani Kuna binti Kama utampenda oa Hana shida huyo.
So usipopenda unarudi Tena unawaambia.

Mie wazee walitoa go ahead. Mana mke wa kuoa sio demu wa night stand na ni mama yako wa uzeeni so sio kukurupuka Sana.

Mpaka saivi naona kweli kila mtu anapewa anachostahili.

Sasa vijana wakishapata ama wakishakariri ambayo wanaume wenzako walivumbua wanavimbaje kuwa hizo ni locals na huku chanjo ya korona tumeshindwa ama sticks tu zatokea kwa watt wa naseri wa uchina.
Watu wa it na cs wanauza cd wanabani wanarusha miziki hawawezi hata ku hack akaunti ya Ontario.

Mkuu kila la heri katika maisha yako
Legend
 
Nilichojifunza ni kuwa, 'our parents always wish us the best'. And if the best is not their option, at least they won't lead you into the worst'.
Vijaana wengi wakishapata elimu ama wakiishi mjini wanadharau Sana ndugu zao wa vijijini wao wanajiona Kama wako sayari nyingine. Binafsi namie naamini Sana ndugu wazazi wanachosema nakifanya,
Mana hao waliopigana mpaka nikapata haka kaelimu ka mkoloni.

Pia huwa namwambia mtu kuwa angalia uwe na mwanamke pale ambapo utaumwa ulazwe hata miaka mitatu upo kitandani atakuwa na wewe daima.

Ama unaoza mguu unatoa funza angalia he huyo hatakukimbia so inatakiwa mke wako awe Mana yako wa ukubwani Mana anaweza akakutawaza.
Ukajisaidia kwa beseni ndani akaenda kumwaga kinyesi chooni.

Sema wengi twaoa kisa Cha emotions,yaani Ile dushele limevimba umenyonywa poa Sana akili ikaisha aka rational mind .
Ama umekutana na msomi mwenzako unaoa kisa Cha status Ila hujaoa Mke umeoa status.
Mie Kuna binti nilimwambia nimedisco second year akaniacha. Anashangaa naingia third year anaanza Tena kujileta Mara anakaa meza moja namie Ile cafteria. Nikampotezea mazima.
Yanai ukiwa kijana mdogo unawaza maisha ya movie. Ndo Mana demu wa chuo ukimuigizia mapenzi ya movie za kihindi,kibongo ama kifilipino. Unamuendea hata na gari ya dada ama ya shemeji anajiona yeye ndiye yeye. So unamvua chupi kirahisi sana afu anashangaa anaachwa.
Mme anayetaka kukupa hatakununulia chipsi ama kupeleka bichi
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom