CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Huu mchezo ukimfanyia Mnyaturu wallah utakupasua Taya
Asante kwa kutunywesha chai RestartNiliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.
Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa, inawezekana usiweze kujitetea sana lakini bidii yako kamwe haitokuacha. Mwezi mmoja na wiki mbili baadae nilipigiwa simu nirudi kazini. Nikalimwa barua ya onyo. Ukweli ni kuwa, mambo mengi yalikuwa hayaendi.
Khaaah wewe hicho ndicho unachokifikiria tuuuSasa ulikula papuchi au hukula maana unatupotezea mda hautaki kumalizia story