Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 547
- 1,193
Wakuu naomba msaada wa maswali haya:
- Ndoa ya kimila ipi?
- Vigezo na masharti yake ni yapi?
- Anayefungisha ndoa hii ni nani?
- Wanandoa wa makabila tofauti wanafuata mila za nani?
- Je ndoa ya kimila ina nyaraka (documents)?
- Je ndoa hii ni halali 100% kama ya kufungia kwenye dini au kwa mkuu wa wilaya?