Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

πŸ™„πŸ˜œ
Kwangu ni hakuna mkate mgumu mbele ya chai nikitaka nakukula tu maana siji unavyodhani!! Nakuja kiyesuyesu mbona utatoa tuπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚
Wenzio walikuja kimtume, kiyesu, kindoa wote walifeli
Chezea secretary WA James Bond weweπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wenzio walikuja kimtume, kiyesu, kindoa wote walifeli
Chezea secretary WA James Bond weweπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona unataka kuniloa wewe!
Hizo mbinu zako tu siji mpaka korona iishe usije nifanya nife kwa kutokupumuaπŸ˜‚
 

Umelenga point. Suala jingine la ndoa za kilokole ni kwamba kanisa linaingia hadi chumbani. Mchungaji anaheshimiwa kuliko mume, stupid. Mke anamnyeyekea mchugaji kuliko mume. Mchungaji hadi anafikia hatua ya kudictate mume apewe tendo au la. Mke anapeleka kesi za chumbani nyumbani kwa mchungaji?? Kesi inaamuliwa kanisani. Hii inapelekea ndoa zinakua hazina misingi inavyotakiwa.

Kama mchungaji anaweza kuamua kesi zenu na kuwapangia ratiba za kimaisha basi hapo ni ujingaujinga mtupu. Kuna muda mchungaji anashauri hadi finances za familia. Ujinga ni mwingi sana.
 
Umeona weeee
Haya mje wabishi msome hapa KENZY
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…