Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Mimi nimeokoka, ndio mwaka wa 30 sasa nipo ndani ya Yesu, ukubali ukatae hainihusu. Lakini sicho kilichonileta hapa, kilichonileta hapa ni hii kitu inaitwaga "NDOA"

Ndoa Bwana hainaga mwenyewe, Mungu aliotoa ndoa Kwa waliookoka, wapagani na wasiookoka, huu NI ukweli na hakuna upendeleo, kama vile mvua na jua vinavyowashukia watu wote Duniani, waovu na watakatifu

Nachopenda kushauri wale ndugu zangu waliookoka tunaotarajia kwenda Mbinguni, ikija kuhusu Swala la "NDOA" bwana tumia akili sana alizokupa Mwenyezi Mungu

Kwa Mfano:
1. Kabla haujaolewa kuna yale mavazi ilikuwa unatupia mumeo akakutamani nayo anakuweka kichwani ukamchanganya mpaka akakuwowa! Yale mavazi sikuhizi mbona hauvai, hata mkiwa na mumeo wawili?

2. Yale mauno ulikuwa unayakata kabla hujaokoka kwa mumeo, sikuhizi mbona haumkatii unasema Mungu hapendi?

3. Yale maneno machafu yaleeee. Ulikuwa unamwambia mumeo mpaka anasimamisha mkiwa wawili chumbani, mbona sikuhizi haumuongeleshi tena? Kisa umeokoka au? Jamani mnafeli wapi wenzetu?

4. Ule utundu utundu ule wa tendo la ndoa, ulokuwa unaufanya sebuleni, kwenye gari, jikoni, bafuni, ulikuwa ukimchanganyia nao mumeo katika kukoleza penzi Lenu, mbona skuhizi hauufanyi? Shetani gani amekubadilisha?

Ndio Biblia umesema Ndoa na iheshimiwe na watu wote, lakini haijasema uonekane mchovu na kilaza wa Mapenzi au ukaushe our sex life katika ndoa yetu au uanze kunihubiria Kila unapoambiwa na mume umpe Haki yake pale linapokuja swala la Unyumba ndani ya ndoa.

Msimpe shetani nafasi walokole wenzangu, me kwenye swala la Unyumba na tendo la ndoa ulokole naeekaga pembeni Kwanza, staki mchezo kabisa 🏃🏃🏃🏃🏃 nipo serious🙈
Tena nahakikisha kiuno nakikata kama feni mbovu😂😂😂🙏
Au nakosea wajameni?

Nipo hapa ofisini narekodi kipindi cha YouTube cha kuhusu ndoa ya waliookoka na wasiookoka ipi inapendeza zaidi?
 
Kwa niaba ya member wenzangu naomba niwawakilishe unipe nafasi ya kuufaidi uwo ukiuno feni mbovu,ili iwe hakikio kwa memba wenzangu kuwa wewe money penny mrembo ulierembuka,ufikapo anga za mahaba ulolokole huutupilia mbali na hutoa ile kitu nafsi na moyo hupenda😜

Ewe mwanamke nipe nafasi hiyo ili nije niuhakikishie na kuuthibitishia Uma wa jamii forum kwa haya uyaandikayo kuwa ni kweli ama watupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom