Daughterrr
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 477
- 585
mfupi nikae kimyaaa apa.Oooh Owkay haya mwaya.
mfupi nikae kimyaaa apa.Oooh Owkay haya mwaya.
Umeona eeMimi mwenyewe mrefu ila huyo jamaa ni balaa aseee
mfupi nikae kimyaaa apa.
?????Sifa ya me ni kuoa na sifa ya ke ni kuolewa
ha ha ha ndio hivyo mkuu,haijalishi ametoka mbinguni wala wapi..kitu cha kati ni kilekile?????
Yani ni wafupi kwangu. Am taller than all of them.Eeh we hupend matolu
Teh hivi yule wa Ay ni mtu wa wapi ?Ndio maana ni vigumu kusikia mnyarwanda kaoa/kuolewa na mtanzania,nadhani issue hapa ni maswala ya kimo...
Teh hapo yupo Primary akisogea chuo sijui itakuwajeHivi mkwe wa Kagame anaweza kulingana na huyu hapa urefu?
View attachment 1150620
Muongo ww nakujua sanaYani ni wafupi kwangu. Am taller than all of them.
RwandeseTeh hivi yule wa Ay ni mtu wa wapi ?
Ww kagame mrefu bhanaKagame is overwhelmingly short!
I think those kids,some of 'em nadhani kuna bodyguard walimsaidia aisee!
Say something dearmfupi nikae kimyaaa apa.
Kuna ile ya ndani ya mtu mwingine hajal kitu vilevile mwingine anavitu vyake anaangaliaha ha ha ndio hivyo mkuu,haijalishi ametoka mbinguni wala wapi..kitu cha kati ni kilekile
Sema appearance n tbu kidogoTeh hapo yupo Primary akisogea chuo sijui itakuwaje
Usinambie we n chifupi???rafikMie kwa Kagame tu sifurukuti, amenikata height huyo mzee sasa kwa hao mashemeji sindio ntaonekana inspekta Mwala kabisa 🤣🤣🤣
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo kaka kwasababu pesa ipo tutamwita Super Tall...ila angekuwa mwenzangu na mimi kapuku apeche alolo,.tungemuita Ngongoti tuu na angeitika...
Umemsoma mother confessor kwenye post #3? Huyu wako kwavile ni kapuku anaitwa ngongoti, yule kwa kagame anaitwa super tallHivi mkwe wa Kagame anaweza kulingana na huyu hapa urefu?
View attachment 1150620
mie niko 5"6 kwa huyo mwamba mwenye 6"+ ni hatari😄😄😄Usinambie we n chifupi???rafik