[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo kaka kwasababu pesa ipo tutamwita Super Tall...ila angekuwa mwenzangu na mimi kapuku apeche alolo,.tungemuita Ngongoti tuu na angeitika...
Kwani ngongoti si kwa kiswahili super tall kwa kiingerez . .in kama albino na zeruzeru tu....vyote sawa bnaHuyo kaka kwasababu pesa ipo tutamwita Super Tall...ila angekuwa mwenzangu na mimi kapuku apeche alolo,.tungemuita Ngongoti tuu na angeitika...
Angalau lakinmie niko 5"6 kwa huyo mwamba mwenye 6"+ ni hatari[emoji1][emoji1][emoji1]
Watu wa kusini asaIla Watz ni wafupi
Come on!baba salehe tupo mtazamo wakoOkay tujadili nini hapa
Hebu tupe mwongozo
Au tujadili jinsi ya sisi wafupi kuwa warefu na warefu kuwa wafupi
MmhNjaa tu hizo unafikiria na yeye akiwa na presidential privilege angekuwaje ?
Acha masiala??ila meddy naye s habaWrite your reply...
zamani warefu tuliitwa ngongoti
siku hizi urefu dili.
btw naskia huyo ange alikuwa analiwa na yule mkali meddy?
Labda hakumhisDingi ake angemtoa roho huyo meddy hahah.
Wacha weemkuu hukuskia juzi kat apa meddy alimuomba msamaha prezdaa akarudi rwanda?
maana kilivyonuka alienda kukaa usa.
Kuwaambukiza gene mbaya nani anatakaHivi watoto wa maraisi hawaruhusiwi kuliwa na raia wa kawaida?
Sa bukob s walewale warefu???na wanyarwanda wapo hko piaWana olewa sana tena sana njoo bukoba uone
Mtazamo wanguCome on!baba salehe tupo mtazamo wako
Note:hii haihusiana na suala la kuoa na kuolewa
Karibu lam waitingMtazamo wangu
Mtacheka sana ! [emoji28]