Ndoa ya aina yake yafungwa Dar

Ndoa ya aina yake yafungwa Dar

......."walipomfuata kuzungumza naye kuhusu kuolewa aliwaeleza kuwa hata Mtume Muhammad (SAW) alioa mwanamke aliyemzidi umri". nimeishia hapa kusoma maana sisi wanasayansi hatukawii kuwaharibia mood wenye imani zao!
 
Inauma zaidi pale Binti Wa miaka 20's anakesha Nyumba za ibada kutafuta wa kumuoa

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
~~~>>>Bibi naye anataka aitwe "beib"......... Nawatakia kila la kher ktk ndoa yenu...
 
Duuuh mwili umekufa kabisa mm hapo haijanyukiiii hata kwa bundukiiii
 
smilie 4.jpg
 
Daaaa kweli uchawi upo kuna mama ananisalimiaga vizuri..... usikute nae anataka anipumbaze nimuoe du

aisee maisha haya sasa huyo jamaa da i wish tu nilie naona hadi aibu sasa paja za bibi kwani ni ngum ngum tena gri.................................. kila kitu kishalala 🙁 aaaaaaaa uswahili lazima ulihusika asee sio hali ya kawaida mimi tu mwanamke akinizid mwaka simsubutu jamaa kapigwa gape ya 25 alaf anaona sawa tu

dunia stop tushuke wapambanaji waendelee na safari

sasa haka kabibi sio kanamtaftia jamaa kesi ole wake amkunje avunjike hahahhaahahah kama awamu hii hajastakiwa kwa kuujum kikongwe hahahahahha
 
Siri wanaijua wenyewe kwa nini wameamua kufunga ndoa...
Ingawa siyo vizuri to judge anyone lakini huyo mwanamke anaonekana ana roho mbaya...


cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom