Ndoa vs uzinzi... Kipi gharama kubwa?

Ndoa vs uzinzi... Kipi gharama kubwa?

GHARAMA KUBWA WANAZIJUA WANZINZI WANANDOA!!!!!!!!!!!! HIZO RATE ZA UZINZI NA KWA MABACHELOR, ILA KWA WALIOOA A.K.A WAASHERATI ZINA TRIPPLE!!!! Mume wa mtu mtamu nyie japo mie siwalagi!!!!!!! Kazi Ipo!!!!!!!!!!!
 
Aisifiye mvua imemnyea
 
Hebu tumuulize babu Asprin
Hahahahah we Nazjaz unataka kumuuliza nini babu yenu?

mwenzio nshazeeka kiasi kwamba mpaka storongo iamke ni lazima niangalie picha za ngono. Na ikaamka afu bibie akachelewa kuitupiamo..... ikilala ni mpaka tena wiki mbili ndo inaamka...

Hebu niacheni babu yenu, niacheni nizeeke vizuri.
 
Last edited by a moderator:
GHARAMA KUBWA WANAZIJUA WANZINZI WANANDOA!!!!!!!!!!!! HIZO RATE ZA UZINZI NA KWA MABACHELOR, ILA KWA WALIOOA A.K.A WAASHERATI ZINA TRIPPLE!!!! Mume wa mtu mtamu nyie japo mie siwalagi!!!!!!! Kazi Ipo!!!!!!!!!!!

gharama zipi kwa mfano?
 
gharama zipi kwa mfano?

1. Kunipoooza Nisimwambie Mkeo unayoniomba nikupe!!!!!!!!!!!
2. Kunipooza nisiwe na wivu hata ukiwa na mkeo nione poa tu!!!!!!!!
3. Kunipoooza nikubali kuwa SECOND best nyuma ya mkeo!!!!!
4.Kunipooza nisikuzalie Mtoto wa Lazima, japo hutaki ila naweza kukukomoa.
5. Kunipooza nisiwe na ghubu kama la wife, ili ukija huku upumzike kama mfalme
6.Kunicomvise kuwa unanipenda zaidi ya mkeo!!!!!!!!11
7. Kunishawishi nibaki small house nisitafute kuwa Big House kwa mwengine
8. Na hizo alizotaja mkuu hapo juuu.
 
Na wanawake?
 
Na wanawake?

1.Kunipooza Nisimwambie Mumeo unayoyahitaji!!!!!!!!!
2.Kunituliza nisijinafasi na vichenchedi vingine
3. Kunipooza nikuone bado unalipa, na kukusifia we makare
4.Kunimotivate ni Perform juu ya kiwango
5.Kunipooza nisitangaze kwa watu
6.Kunipooza nisimtolee macho binti yako
7. Kunicomvise kuwa unanipenda zaidi ya mumeo na we got a future together!!!!!!!!!!!
8.Kuni motivate nisioe na kukubwaga hapo!
 
mmhh hiyo namba moja
majitaji ya kwa mume na nje huwa tofauti lazima?
 
Bibie lara 1, yatosha sasa waruhusiwa kwenda kulala....:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Kwani unaoa kwa ajili ya sex? Usihangaike, Wewe endelea na hao wa kurent, lakini ongeza budget ya kondom sababu mko wengi. Labda utenge akiba ya ARV.

Nakaribisha kukosolewa, huu ni mtazamo wangu tu, na wewe pia waweza weka wako.

[TABLE="width: 677, align: left"]
[TR]
[TD]GHARAMA ZA KUOA[/TD]
[TD]GHARAMA ZA UZINZI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kujitambulisha…….. 20,0000/=[/TD]
[TD]· Maandalizi ya mihadi ………………….20,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kishika uchumba……….50,000/=[/TD]
[TD]· Vocha ya simu ya mrembo……………10,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Mahari……………………… 300,000/=[/TD]
[TD]· Vinywaji na viburudisho……………… 75,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Harusi…………………..7,000,000/=[/TD]
[TD]· Hotel/ Guest House…………………… 50,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Condom……………………………………… 3,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Hela ya taxi ya mrembo………………… 30,000/=
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Posho ya mrembo………………………. 20,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Mizinga kwa mwezi……………………300,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Shopping …………………………………..500,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· HUU NI MZUNGUKO WA MWAKA MZIMA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Bibie lara 1, yatosha sasa waruhusiwa kwenda kulala....:glasses-nerdy:

Afu kweli kesho inabidi KUWAHI CHURCH kupunguza mlima wangu wa dhambiiii!!!!!!!!!!! Daaaaaaah!!!!!! Ngoja nilale babu!!!!! Good Night!!!!!!!!!!!
 
Nijibu ndo ukalale
 
Nakaribisha kukosolewa, huu ni mtazamo wangu tu, na wewe pia waweza weka wako.

[TABLE="width: 677, align: left"]
[TR]
[TD]GHARAMA ZA KUOA[/TD]
[TD]GHARAMA ZA UZINZI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kujitambulisha…….. 20,0000/=[/TD]
[TD]· Maandalizi ya mihadi ………………….20,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Kishika uchumba……….50,000/=[/TD]
[TD]· Vocha ya simu ya mrembo……………10,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Mahari……………………… 300,000/=[/TD]
[TD]· Vinywaji na viburudisho……………… 75,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]· Harusi…………………..7,000,000/=[/TD]
[TD]· Hotel/ Guest House…………………… 50,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Condom……………………………………… 3,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Hela ya taxi ya mrembo………………… 30,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Posho ya mrembo………………………. 20,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Mizinga kwa mwezi……………………300,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· Shopping …………………………………..500,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]· HUU NI MZUNGUKO WA MWAKA MZIMA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Uko sawa kabisa ila cha kuongezea ni kwamba gharama za Ndoa ni za mara moja wakati zile za Uzinzi ni za kujirudia siku hadi siku tena huongezeka kutokana na kipato upende usipende. Kwa Ndoa gharama unaziendesha wewe mwenyewe utakavyo. Mfano kama kipato hakitoshi unalipa mahari kidogo leo na nyingine utamalizia siku za mbele... sasa ile wako upungukiwe chochote katika uzinzi, utatamani dunia ipasuke... maneno si maneno, matusi si matusi, magazeti ya udaku ukidharirishwa, Hehima chini na mwishowe mwenzi kuchukuliwa na wenye ubavu wa pesa
 
mmhh hiyo namba moja
majitaji ya kwa mume na nje huwa tofauti lazima?

Kumbe jeee!!!!!!!!!! Ungemtimizia yooote nje angefata nini? Mwenzio yupo more into dirty talk, wewe busy una msweet talk!!!!!!!? Hahahahaaaa lazima atafute wazee wa NASTY!!!!!!!
 
How Nasty do women like?
 
Back
Top Bottom