Ndoa sio ngumu vijana msiogope kuoa

Ndoa sio ngumu vijana msiogope kuoa

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,613
Nikiri tu wazi yakuwa mimi nilikuwa ni miongoni mwa vijana waliokuwa wakiogopa ndoa, nikaoa na 35+. Nilikuwa nikihofia mambo mengi sana ikiwemo kuchapiwa, kuumiza kichwa, kukosa uhuru nk.

Miaka mitano iliyopita niliuaga ukapera kiroho ngumu mana sikuwa na la kufanya mana hata wazazi walikuwa hawanielewi.

Ila cha ajabu ni kwamba vijana tunakuwa na wapenzi na wengine tunaishi nao ila kuhalalisha/kuoa ndio inakuwa ngumu.

Namshukuru aliye juu toka nimeoa naona changamoto tu za kawaida ambazo sio za kutisha kama nilivyokuwa nikiogopa hapo awali na kuhusu maisha na uchumi kwa ujumla ni yale yale tu hakuna cha zaiada. Niwasihi vijana wanaosema ngoja wazeekezeeke kwanza pengine watakuja lewa au ndio waoe sio sahihi.

Oeni mpate baraka.
 
Acheni kutudanganya, naoa natafuta nini? Papuchi? hizi zipo tena za kubadili kila siku tena ni tamu katika hii stage hujaoa, wacha tule life kwanza ishaandikwa kuoa ni majaliwa bhana, Wanaee achaneni na story za kuoa, life is too short tule bata!
 
Acha bwanaaa...
wa kuoa wataoa wakuruka wataruka pia 😵
 
Acheni kutudanganya, naoa natafuta nini? Papuchi? hizi zipo tena za kubadili kila siku tena ni tamu katika hii stage hujaoa, wacha tule life kwanza ishaandikwa kuoa ni majaliwa bhana, Wanaee achaneni na story za kuoa, life is too short tule bata!
Imeandikwa wapi??
 
Haya mjenzi huru, tumekusikia ila wakuoa km mtoa post alivyoshauri hapo oeni, ndoa ni tamu sana jamani.
 
Siku hizi tunao au tunafanya birthday???
Yaani kila mwaka unasherehekea ndoa Mpya[emoji1321]
 
Unatakiwa kupuuzwa kwa kutaka kutujulisha jinsi gani unafikira hafifu.

Hayo ni mawazo yake mkuu!
We dare openly to talk usilazimishe unachokiamini kila mtu akiamini that's why uzi wangu ni wa kiushauri but ushauri ni wa kupokelewa au lah.
 
Huwezi kutoa mawazo yako bika kutukana walio na mawazo tofauti na yako?

Mbona wewe sijakushangaa?
 
Ndoa ni tamu ukioa anaelewa maana ya ndoa na mume compatible. Mke anakushauri kabisa mume wangu hii 20,000 itatufikisha mwisho wa mwezi usijali mradi tukubali kula mchicha na kabichi

Lakini ukimpata anaekwambia hukunitoa kwetu kuja kula mboga za ajabu utakoma
 
Ni kweli napaswa kumshukuru Mungu kwa kumpata mke mwema yupo humu humu najua ujumbe ashaupata.
 
Huwezi kutoa mawazo yako bika kutukana walio na mawazo tofauti na yako?

Mbona wewe sijakushangaa?

Hapo kwenye tusi sasa ndio kakosea but na ww ukaamua kumrushia tusi pia au ndio dawa ya jeuri kiburi?
 
Back
Top Bottom