Huja kaa sawa umekula ngumiOngera yako
Wengine huku ni full Majanga.
Mme anachelewa kurud nyumban? Akirud Kalewa chakar? Hatuwezi hata kukaa tukajadili Maisha.
Hujakaa sawa kesho wanakuja watu ntumban wanamdai fedha!
Yani we acha tuu ni Shida tupu.
Duvido muito oque está dizer!nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Ndoa nitamu ukiwa mtu wakusamehe samehe, kusahau asie kua na msimamo, malengo ya maendeleo, mwenye hofu ya Mungu ilio zidi.......otherwise ndoa 'Hapana'.... ukiwa namalengo mahususi wanawake nimtihani, sio wakutegemea sana hata ukikaa nae miaka 10, one day atakujaribu tu akuone.nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Kwa akili hizihizi za Zero IQ na kiben10 wa haja JamiiForums?Neno moja kubwa wanaume wanapaswa kujifunza no hii"ishi na mwanamke kwa akili" hiyo ni neno dogo iliyobeba siri yote
Mimi naona una matatizo ya kisaikologia sio bure kwa sababu wewe unawaza mabaya tu kwa wanawake. Kama ni malengo ya maendeleo mwanamke hakupingi hata siku moja mwamke anayekupenda. Una mentality ya kwamba wanawake wasumbufu wakati hakuna ambaye sio msumbufu hats wew mwenyewe una tabia inayokera umekosa jambo moja hujui namna ya kuishi nayeNdoa nitamu ukiwa mtu wakusamehe samehe, kusahau asie kua na msimamo, malengo ya maendeleo, mwenye hofu ya Mungu ilio zidi.......otherwise ndoa 'Hapana'.... ukiwa namalengo mahususi wanawake nimtihani, sio wakutegemea sana hata ukikaa nae miaka 10, one day atakujaribu tu akuone.
Wanaume wengi imani zenu ni haba hamna hofu ya MunguNaunga hoja mkono na miguu....sijuwi wanaume wenzetu wanafeli wapi
acha uongo wako, hujayajua maisha kwanza una Dini gani kila saa unarudia kuandika jina la Mungu wako mungu hujui ni kosa?Siyo kutamba nimeamua kusema ukweli na point ya kwanza ni imani yenu kwa mungu mwanamke asiyemjua mungu ni matatizo katka ndoa
teh..teh...teh... miaka kumi bado midogo sana kuijua ndoa.nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.
Unataka kuniambia kila nikikutana na dada wa kisukima nimekutana na mpinzani wangu? Hawa watu huachi kuwasifiaHongera sana mkuu, bila shaka umeoa usukumani. Endelea kula maisha matamu kwa kuwa ulifanya uamuzi sahihi miaka 12 iliopita, kuna wanawake wana adabu na unyenyekevu sana ukijumlisha na upendo basi raha tu.
Sio kweli ndoa zote zinaribiwa na umalaya wa mmojawapo, mnapomcha mungu mnakingwa na majaribu Mengi nyote mnajua ndoa imebeba mambo Mengi tens mazitoNi kweli mkuu...cha muhimu ni kuziba macho tu pale kitu kizuri kinapokaribia machoni mwako
ukiona ndoa imetulia kuna uwezekano pia mmoja sio mwaminifu, lakini ndoa imara lazima ipitie changamoto kwa hiyo changamoto tuo kukomaa kwenyewe na muda mwingi wanandoa wanaishi kwa kuvumiliana zaidi.Naunga hoja mkono na miguu....sijuwi wanaume wenzetu wanafeli wapi
Anatutia moyo tu, ndoa za kanisani zinamajaribu kuzidi za kienyejiMzee baba leo shemeji kaongeza viuongo kwenye chakula nini?
Hongera.
Hapo kwenye uaminifu ndipo hasa penye ndoa,na uaminifu katika ndoa sio tu kuhusiana na uchepukaji ni uaminifu kwenye kila kitu...nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.