Ndoa nyingi ziko hivi siku hizi!

Access Denied

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
655
209
Wanawake walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mumeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mumewe sms amwambie nakupenda mume wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.majibu yalikuwa hivi:
1.unaota au?
2.umekumbwa na nini?
3.?
4.utanieleza hii sms ulikuwa unatuma kwa nani
5.leo sikusamehe najua kuna kitu.
6.huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7.najua tu tayari umegonga gar
8.wewe sema unachotaka.
9.leo hunipati ng'o!
10.nani mwenzangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom