Ndoa ni ya watu wangapi?

Very true. Utakuta yake kashindwa anaingilia ya wengine. By the way napenda signature yako. Sio mtu wa longo longo inaelekea.

Hahahah....u r right mkuu...spedi naiita spedi not a big spoon
 

Thanks. Siwezi kusema zaidi. Tukimtoa Mungu lazima shatani aingie. Kule massage parlour ni issue ya muda tu. No commitment whatever!
 
Hapo tu ndio ulipokosea. kama unahonga viserengeti je? Mimi huwa nasema sina time na mshahara wa wife ila ni lazima nijue anafanyia nini huo mshahara (angalau kwa ujumla wake, sio kuwa gizani kabisa). Na mimi hela zangu hazimuhusu as long as anapata mahitaji yake na ya familia. Of coz kushauriana katika masuala ya kujenga taifa inabidi yawepo.
 
mke mwenyewe ndio huyu nini?
 
Jambo dogo? Si wanasema Mbuyu ulianza kama mchicha. Kila siku linakuwa kubwa mwisho unakuwa mbuyu. Na ikivunjika sio tena ni kula life tu!
Pamoja na mbuyu kuanza kama mchicha lakini kumbuka mchicha hauwezi kuwa mbuyu hata iweje.
 
Nipo straight sina hata aibu naongea makavu makavu

that's nice!! Japo linapokuja swala la ndoa kila mtu ana mtazamo wake, of which tunaoamini Mungu tunasona kuwa Mungu aliibariki na kuitakasa ndoa, kwa hiyo si vizuri sana kuikashfu kiasi hicho..though of course sio wote wenye wito wa kuoa/kuolewa. Au Khantwe we unasemaje rafiki..!
 
Last edited by a moderator:
Najua wewe sio chizi kumtaka binti yangu. Do you know how old she is? When she grow up she will make her own decisions!

Mtoto wa sekondari mkubwa kabisa huyo....
 
Mtoto wa sekondari mkubwa kabisa huyo....

Maana yake sasa inabidi nicheke tu. Hata form one under 18 mkubwa kabisa huyo enhe? Then unamtaka kwa kumwambia baba yake?
 

Sawa kaka eli nimekuelewa nakuomba msamaha ..... hata mi naamin Mungu .... naomba nisamehe niombee msamaha kwa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Ukute unamsngzia tuu dada mtu.inaezekana mambo ya gwajima hayo yanafanya kazi.chungza vzurii maana Shemeji gwajma siyo muchezo ndiyo habari ya mujini skuhzi ..heheheh
 

aisee pole sana
ndoa ni ya watu wawili waliapa mpaka kifo kiwatenganishe
ukiona kuna usiri au kuna mtu wa tatu hapo ndoa inaelekea kuning'inia km si kukatika
vunja ukimya muite mkeo mueleze kila ktu
hiyo ndo mitihani yenyewe
usichukue namba ya huyo dada
utamkaribisha shetani wa pili wa kwanza shemeji yako
tafadhali ongea na mkeo
 

Tumeisha ongea mara nyingi lakini kila wakati tunarudi kulekule. Labda niite watu wenye heshima zao wajaribu kuliweka sawa. Kule number wala sichukui ni mambo ya muda tu vinginevyo ingekuwa tayari.
 

ndo sababu za kumficha mmeo kweli...?!!
ishu km hyooo...
hv m/m anajiskiaje
labda km hawaaminiani na hyo ni dalili mojawapo...!!!
aiseee....!!!
 
Mrudishe kwao, akitoka huko ahamie kwake na wewe unakaa kwako.

Baada ya muda atagundua kuna mapungufu, atarudi kwako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…