Ndoa ni ya watu wangapi?

duu pole sana,kuchepuka is nt a solution,kaa chini na mkeo mliongelee hilo swala,mwisho wa siku nyie ndio ntakaoiokoa ndoa yenu
 

Wala sijapoteza swali lako. Ukweli wenyewe we always discuss things and to be honest anachangia vizuri tu katika ujenzi kwa mfano kwa sababu nyingine ni ideas zake. Tatizo ni pale wakati tuna discuss mambo mengine hoja hamna - kaambiwa na dada mtu. Ghoosh!
 
Mkuu, mwingine atamchukua yeye lakini si nyumba. Pale ikibidi greda litapita ndio maana nipo kimya kwanza.

Hahahaaa...huo ni utata...

Natamani nikiolewa nikubaliane na mume wangu kuwa yeye ndo atakuwa na wajibu wa kunitunza na kuendesha familia, kama nikichangia kwenye mradi basi nichangie kama mtu mwingine na mapato yagawanywe, no joint account, sitomfuatilia anaingiza kiasi gani...just ahudumie familia.
Mshahara wangu haumuhusu, hatakiwi hata kujua naufanyia nini...labda tu nijisikie kumsaidia majukumu yake...
 
duu pole sana,kuchepuka is nt a solution,kaa chini na mkeo mliongelee hilo swala,mwisho wa siku nyie ndio ntakaoiokoa ndoa yenu

Njitahidi kuongea naye sana. Najua ni kawaida kupata maoni ya wengine lakini katika ndoa jamani baada ya muda wote huo angalau awe na mawazo yake mwenyewe. Mbona mdogo wake anaweza ku manage mambo yake na mumewe?
 
ubomoe nyumba kwani ipo kwako? Utaanzisha ugomvi mkubwa.

Ubomoe kwa sheria ya mahakama ipi na kajenga kwenuu au juu ya kiwanja chako na hata kama ni kiwanja chako ulikuwa wapi? Wee nawe unamatatizoo tuu na uenda ulioa ili ulelewee sasa kukuta hakubembelezi mtu ndio roho yakuuma! kajenge na wewe yakwako ukishirikiana na nduguzo na kama unataka kuoa wake wengi ungefunga ndoa ya bomani tena uchague kifungu cha ndoa ya wake wengi. WANAWAKE TUKIAMUA TUNAWEZAA MPK KUWALIZA MIOYO.
 
Mkuu, mwingine atamchukua yeye lakini si nyumba. Pale ikibidi greda litapita ndio maana nipo kimya kwanza.

Uuuuwiii wajidanganya. Waaalai atachukuliwa yeyee,mwanae ambae wasema ni wako utasaidiwa kumlea na nyumba pia utaishia kuiona mjengo na najua hati miliki hunaaa ya hiyo nyumba na ndo maana haushrikishwii chochotee hata robo kg ya nails na hata ukishirikishwa ukaijenga hati inajina la nani? Oooi ----- wa mawazo na akili.
 
Ha ha hata kama usingekuwa yatima, ni maelewano tu. Ndugu wanaweza kuwa baraka pia. Lakini ID ndio inatisha kidogo - love more than 100?

Ha ha haaa ukiwa nami nitakuwa na wewe kwa Love more than 100! vp kwani hutaki kupewa nafax kwa kiwango cha zaidi ya 100 weiyeee???
 

Hayo kwenye RED ndio matunda ya mfumo dume - kwa hiyo usawa usiwepo?
 
Yeye kajenga kisiri nami naibomoa kisiri vile vile

Weee utavaa chupi kichwani uzurure mji mzimaa maana kwa dua atakazokuombea waalai utoboi maana haikuhusuu ndo maana hujaambiwa. Na wewe si ujenge yakoo na usimshrikishee!
 

Ndiiiiooo mwambie.
 
Ha ha haaa ukiwa nami nitakuwa na wewe kwa Love more than 100! vp kwani hutaki kupewa nafax kwa kiwango cha zaidi ya 100 weiyeee???

Mhmm! Kumbe ndio maana yake. Nilidhani Love more than 100 watuz!
 
Weee utavaa chupi kichwani uzurure mji mzimaa maana kwa dua atakazokuombea waalai utoboi maana haikuhusuu ndo maana hujaambiwa. Na wewe si ujenge yakoo na usimshrikishee!

Sasa hayo yatakuwa maisha kila mtu anamficha mwenzie. Ni bora kila mtu akachukua hamsini zake na uhuru wake!
 

haya maneno ungemwambia Sibonike, mimi sijaoa love more than 100
 
Last edited by a moderator:
Sasa hayo yatakuwa maisha kila mtu anamficha mwenzie. Ni bora kila mtu akachukua hamsini zake na uhuru wake!

sasa hilo jambo dogo hio ndo wataka vunja ndoa? mshachokana nyie
 
sasa hilo jambo dogo hio ndo wataka vunja ndoa? mshachokana nyie

Jambo dogo? Si wanasema Mbuyu ulianza kama mchicha. Kila siku linakuwa kubwa mwisho unakuwa mbuyu. Na ikivunjika sio tena ni kula life tu!
 
Naona jamaa kajifanya kama hajaelewa vile...teh teh teh!!!

Najua wewe sio chizi kumtaka binti yangu. Do you know how old she is? When she grow up she will make her own decisions!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…