Ndoa ni tendo la ndoa mengine ni nyongeza tu

Ndoa ni tendo la ndoa mengine ni nyongeza tu

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
446
Habari,

Wengine mnaweza mkabisha lakini naomba mbishe kwa hoja.Kila mtu alimpenda mwenzi wake kwa kufikiria kupata kwanza tendo la ndoa madhubuti kutoka kwa mwenzi wake.Na ndiyo maana kwa wnandoa ambao si wabunifu ktk huduma hiyo ndoa zao huwa na migogoro.Mke yeyote akipata full orgasm huwa anakuwa mtulivu sana na anakuwa mama mwenye mawazo mazuri yasio na usaliti ndani yake.Nyumba ndogo ni matokeo ya kutetereka kwa ustawi wa tendo la ndoa kwa wanandoa.

Wanaume tengeni muda wa kazi na muda wa kumburudisha mwenzi wako vivyo hivyo kwa kina dada.Huwa sipendi kumuona mwanaume amefika home halafu anajifanya yuko busy na Laptop ilihali ametoka ofisini.Kama una tabia kama hiyo jiandae kugongewa kama mkeo atakuwa hana maadili kwa mke mwema atavunja ukimya na unapaswa kumsikiliza.
 
^^
Kupata tendo la ndoa si kupata ndoa
Ipo tofauti sana
^^
 
Back
Top Bottom