Kuanzia tu kwenye kusumbua watu na michango ya laki moja hadi kuanza kuishi kama mume na mke baada ya kuzoeana sasa kila mtu anaanza kuonesha rangi za kweli kuwa alikukubalia maana kwenu mna pesa au kuanza kuona makebo yake makubwa hayana maana tena.
Ni process iliojaa utapeli mkubwa.