Ndoa ni Kama Vita

naogopa sana hii institution ya kulala na adui yako
 
duuh aisee wengine tunafurahia ndoa kumbe kuna wanao ona ndoa ni vita daah nda haijawahi kuwa vita kwangu
 
Ooyooo ujauzito huu ni safi na hasa kwa hapa bongo maana hawa mawife nao huwa hawachezi mbali kwa kejeli za hapa na pale mara hana lolote ni kujaza choo tu na mara ana maliza gunia la mchele na mwisho ndoa kuvunjika bila kupenda wao na masikitiko makubwa na hapo tena mawifi huwa wanapiga ngoma kwa furaha kubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…