Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Kama Bwana aishivyo,na sisi watumishi wake ndivyo tuishivyo.."Bwana haangalii sura,bali mioyo"😊😊Hapana Mkuu Nilikua tuu Katika tafakari ya fumbo hili ndoa takatifu
Kama Bwana aishivyo,na sisi watumishi wake ndivyo tuishivyo.."Bwana haangalii sura,bali mioyo"😊😊Hapana Mkuu Nilikua tuu Katika tafakari ya fumbo hili ndoa takatifu
Kabisa ni kweli tupu kuwa Mungu hali chumviKama Bwana aishivyo,na sisi watumishi wake ndivyo tuishivyo.."Bwana haangalii sura,bali mioyo"[emoji4][emoji4]
Hahaha...Kabisa ni kweli tupu kuwa Mungu hali chumvi
Na bond zenu huwa zina kuwa strong kama nondo na zege, wale wa nje tunabaki kusema hawaendani hawaendani, huku mkizidi kutualika kwenye anniversaries tuu